Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu,

Hii kitu naiona kwa upande wangu sijui kwa nyie wenzangu. Yaani upo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu na mpo karibu lakini kupata penzi ni kwa manati. Hapa naongelea wale ambao hatujaoa sijui kwa wale wanaoishi pamoja hali ikoje.

Binafsi mimi sinaga tabia ya kuanza kujiliza liza kwa mtu japo inaumiza sana. Yaani inafikia hadi miezi miwili na kuendelea hujalamba kitu dah! ila story mnapiga fresh tu lakini siku ukimpanga aje hiyo siku inapita hivi hivi na haoneshi hata kujali na siku zinasonga.

Je, kwa ambao yashawakuta huwa mnahandle vipi?

TUTAFUTE PESA ZA KUTOSHA KWA KWELI.
 
Nilikua na manzi dah Yaani anakuja kwako ijumaa jioni akitoka job na anaondoka juma3 asubuhi kwenda job (tulikua tunaishi mbali)

Ila hizo 3 night eti mnanyanduana Mara 2 tu aiseee ilinishinda nikatupa taulo aisee. Niliongea nae akasema yeye hapendi kunyanduana na Mimi napenda kinyanduana basi HATUKUENDANA.
Kila mtu akachukua time zake.

Mengine historia.

#YNWA
 
Back
Top Bottom