Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

Acha zinaa utapunguza wingi wa soku zako.

Wanaume sijui vipi ukiwa na demu anayekusaidia usiishi maisha ya dhambi wewe unaona anazingua!

Mwanaume kuokoka shimo la jehanamu ni rahisi ngamia kupita tundu la sindano
 
Watu mna roho ngumu aisee!mimi mwanamke akipita wiki mbili hajatoa papuchi na wala hajalazwa hospital yeyote nchini natumbua jipu,mapenzi ya Tamthilia siyawezi.piga chini
 
Sure kaka kuanzia jana nimezika rasmi mahusiano na nimerudi kwenye chama chetu
Japo nikiri nlikua nampenda sana nayeye kwenye sms anaonesha anajali lakini suala la kutoa mzigo naona labda sistahili.

So Sitajibu sms wala kupokea simu yake
Karibu chamani.


Ila mchane usimwache hewani hewani
Mtafute mwambie hii mambo yakukunyima mchezo uintateini na unaona hana umuhimu kwako na kama maana hiyo pia wew huna umuhimu kwake hivyo unamuacha rasmi na anakaa akijua umemuacha kwa sababu hiyo.

#Utekelezaji Mwema.
 
Karibu chamani.


Ila mchane usimwache hewani hewani
Mtafute mwambie hii mambo yakukunyima mchezo uintateini na unaona hana umuhimu kwako na kama maana hiyo pia wew huna umuhimu kwake hivyo unamuacha rasmi na anakaa akijua umemuacha kwa sababu hiyo.

#Utekelezaji Mwema.
Dah! lingekua suala jingine ningemwambia
Ila hili kwa hulka yangu naona ni kama fedheha sana na ataniona fala,Yani hata akisema aanze kunipa ni kama ananionea huruma tu ila haijatoka moyoni mwake.

Nimejitathmini nimegundua yuko sahihi maana kwa changamoto za kiuchumi nnazopitia sai imepelekea kutomjali kwa vitendo na kama ujuavyo mapenzi ya sasa bila kuyapalilia na kuyamwagia maji muda wote yanafubaa haraka hata kama namfurahisha kwenye maneno ila kuna vitu lazima vitaathirika ikiwemo hili suala.
 
Si rahisi Mtu uhudumiwe Kama mpenzi then ugome kutoa papuchi ,Nina wasiwasi na mtoa mada hasimami katika zamu yake

Upendo mda mwingine ni mateso matupu, ukisikia mtu hasikii wala haoni ndio hivyo kapenda mpaka haoni kama anateseka
 
Tafuta kindoo kidogo na kidumu cha lita tano vyote vijaze maji then hutakuwa na shda ya maji hata yakiisha kwenye ndoo kubwa
 
Mmmmh mkuu labda una jitahidi kuwa mzazi wake so una kaa mbali na yeye kimapenzi ila kama ni wako na hugusi basi naona kabisa una saidiwa. Ila sasa kwa tadhimini yangu ya haraka haraka una show mbovu sana, please rudi nyuma angalia performance yako kama iko sawa, je una kidhi viwango vya kumridhisha mtu?
 
Habari wakuu,

Hii kitu naiona kwa upande wangu sijui kwa nyie wenzangu. Yaani upo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu na mpo karibu lakini kupata penzi ni kwa manati. Hapa naongelea wale ambao hatujaoa sijui kwa wale wanaoishi pamoja hali ikoje.

Binafsi mimi sinaga tabia ya kuanza kujiliza liza kwa mtu japo inaumiza sana. Yaani inafikia hadi miezi miwili na kuendelea hujalamba kitu dah! ila story mnapiga fresh tu lakini siku ukimpanga aje hiyo siku inapita hivi hivi na haoneshi hata kujali na siku zinasonga.

Je, kwa ambao yashawakuta huwa mnahandle vipi?

TUTAFUTE PESA ZA KUTOSHA KWA KWELI.
Pole sana
 
Back
Top Bottom