Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah wapi, ukiwa kwenye ndoa ni wajibu kutoa ila kwenye mahusiano unatakiwa utoe kwa starehe bila kujiumizamwanamke anaempenda kweli mwanaume wake anatoa tunda mda wowote hata kama hajiskii, hata akiamshwa saa nane za usiku, atalalamika umemuharibia ndoto yake nzuri ila atakupa tu umle umuache aendelee na ndoto zake.
Nilishawahi kuwa na Mtu hajaniona lakini ananipangia ratiba kwamba Kila wiki Tulane Mara mbili yaan jmos na jpili, then analazimisha kabisa utasema kashaoa😃Wakukulana wako wengi si akanunue, Mimi mtu hajanioa asinipangie kwa kweli
Hapo ndipo wanaume wanakwama, ngoja Mimi niwambie wanaume, unapokuwa na mwanamke na amekubali kuwa mpenzi wako, hebu timiza majukumu yako ya kiume uone Kama utanyimwa papuchi.We Singasinga acha Fuji, ameshakushtukia unamtumia tu bila Kuwa na mpango endelevu! Mtangazie ndoa uone Kama hajahamia kwako! Uwe serious Kama una ugwadu namna hiyo!
Si rahisi Mtu uhudumiwe Kama mpenzi then ugome kutoa papuchi ,Nina wasiwasi na mtoa mada hasimami katika zamu yakeUjajibu nilichouliza, nmeuliza hvyo maana kuna wengine wanakunyima penzi lakini bado anataka kuhudumiwa kama mpenzi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Kwa kweli mtu hajanioa nimpe papuchi yangu aiharibu tu bure Yani yeye ni kugegeda tu chakufia Nini jamani, papuchi yangu ya thamani kumpa mpa tu mhuniNilishawahi kuwa na Mtu hajaniona lakini ananipangia ratiba kwamba Kila wiki Tulane Mara mbili yaan jmos na jpili, then analazimisha kabisa utasema kashaoa[emoji2]
Wewe koma screenshot niliposema najichua kujipa raha mwenyewe kwangu Mimi sio ngono au masturbation zenu mnazofikiri watu wote hufanya, mie huo uchafu siujui kabisa, Nina Mambo mengi ya msingi hufanya ya kufuraisha kuliko hyo mnayoita kujichua
Wewe ndo hujaelewa unafikiri kujipa raha lazima ufanye masturbation tu hyo Mimi hata siijui, na raha kujipa mwenyewe huwa nikufsnya Mambo niyapendayo like watching documentaries, kusoma vitabu, kusafiri sehemu mbalimbali, hata kushiriki kazi za kijamii huko kwangu ndio kujipa raha mwenyewe nakufanya Mambo yanayoufuraisha moyo wangu.Kujipa raha mwenyewe naweza, naweza kutumia chochote na sio mtu, umesema mwenyewe hapo au ulimaanisha nini ?. Alafu mbona kwa maandish yako unaonekana una hasira sana ? Tatizo nini ? Ndio tuseme upo serious sana au ? View attachment 1515520
Hapo ulimaanisha nini ? kwamba unaweza kumreplace mtu na chochote.
Punguza hasira huwa hazisaidii,
Mbona hakuna panapoonyesha anajichua!Kujipa raha mwenyewe naweza, naweza kutumia chochote na sio mtu, umesema mwenyewe hapo au ulimaanisha nini ?. Alafu mbona kwa maandish yako unaonekana una hasira sana ? Tatizo nini ? Ndio tuseme upo serious sana au ? View attachment 1515520
Hapo ulimaanisha nini ? kwamba unaweza kumreplace mtu na chochote.
Punguza hasira huwa hazisaidii,
[emoji38] alafu nayeye akiona hvyo ndio anazidi kubana hakupi kitu ukiacha tu kuhudumia ndio anapata na sababu ya yeye kufanya hvyo
Unapiga puli sio ? au sijaelewa vizuri. Nimesoma ulivyoandika nimegundua kitu wewe kama sio mid twenties basi ni early twenties na ni mwanafunzi, sasa mi kakako nakupa ushauri, usitukane mamba kabla hujavuka mto, umri ukienda enda kidogo utakuja kuelewa.. Kwa namna ulivyoandika inaonekana una attitude fulan ivi mwanaume mwenye anamsimamo na mwanaume kweli huwez kuwa nae. UKO VERY CONTROLLING, wanaume hawapendag hiyo kitu...
Mwili gani mmoja na kwanini unilazimishe kufanya Jambo nisilo lipenda mie
Kiukweli sipendi kupangiwa vitu maishani napenda kuishi nitakavyo na ku stay kwenye my lane usinisumbue tusisumbuane, maybe that's my weaknessSasa si Uishi mwenyewe kua sista[emoji23]
Kama tunapanga na haiwi kumshtukiza ndo itawezekana mkuu?Huwezi kushtukizab ni mpaka mpange?
Yeah! hata mimi ninahisi hivo japo anajikosha kwa kuniita majina ya kimapenzi kama mume wangu etcKaa chini zungumza nae akwambie yapi yanamkera juu yako, pengine anapendezwa na wewe kama rafiki kuliko kama mpenzi,
Akikataa kuzungumza basi sio wako huyo, piga chini.
Hapana simpi maana nimegundua nikimpa ndo anachangamka sana so sihitaj mapenz ya namna hyoPesa huwa unampa?