Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

Habari wakuu,

Hii kitu naiona kwa upande wangu sijui kwa nyie wenzangu. Yaani upo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu na mpo karibu lakini kupata penzi ni kwa manati. Hapa naongelea wale ambao hatujaoa sijui kwa wale wanaoishi pamoja hali ikoje.

Binafsi mimi sinaga tabia ya kuanza kujiliza liza kwa mtu japo inaumiza sana. Yaani inafikia hadi miezi miwili na kuendelea hujalamba kitu dah! ila story mnapiga fresh tu lakini siku ukimpanga aje hiyo siku inapita hivi hivi na haoneshi hata kujali na siku zinasonga.

Je, kwa ambao yashawakuta huwa mnahandle vipi?

TUTAFUTE PESA ZA KUTOSHA KWA KWELI.

inauma kwakweli. mimi kwangu ilikuwa mnapanga kwa simu vizuri kwamba kuonana siku flani mda flani sawa sawa. siku ya siku unapiga simu weee haipatikani na whatsapp texts juu hadi siku inaisha. akija kukutafuta ni kama hakuna lililotokea. nikajiondosha kimya kimya miezi 5 sasa imepita. kuna watu hawako upfront inapokuja kwenye mahusiano na inakera kwakweli 😡
 
Mkuu na mimi ni hivi hivi yani anakuchek muda ambao anajua hawez kuja
So nlichogundua mapenzi ya sasa yanahitaji muda wote uyapalilie la sivyo utaishia kuitwa majina mazuri kwenye sms ila chake hulambi
 
Inawezekana kwa kumpanga ndio unamtoa mood, ni mtu wako jaribu jaribu mazingira tofauti tofauti ikwamo ya kushtukiza
Muda wangu uko limited sana mkuu,so kama hawez kuja siku tulopanga ndo inakua imetoka hivo na anajua
Ila kingine nimegundua yuko sahihi maana nimempima hulka yake ili ufaidike mfanyie mambo flan flan,Ndani ya hizo siku utamfaidi sana
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Nilikua na manzi dah Yaani anakuja kwako ijumaa jioni akitoka job na anaondoka juma3 asubuhi kwenda job (tulikua tunaishi mbali)

Ila hizo 3 night eti mnanyanduana Mara 2 tu aiseee ilinishinda nikatupa taulo aisee. Niliongea nae akasema yeye hapendi kunyanduana na Mimi napenda kinyanduana basi HATUKUENDANA.
Kila mtu akachukua time zake.

Mengine historia.

#YNWA
Duuuh....noma
 
Mimi ni Mwanamke ila jinsi. Nilivyomsoma na anachoandika kama kinatoka kwenye nafsi yake bs hataweza kuja kuishi na mwanaume yoyote timamu

bado mdogo hajakomaa kiakili, atampata mtu sababu mafala wapo wengi sana, ataoata bwege mmoja atamwendesha mpaka ndugu zake waingilie kati
 
Wewe ndo hujaelewa unafikiri kujipa raha lazima ufanye masturbation tu hyo Mimi hata siijui, na raha kujipa mwenyewe huwa nikufsnya Mambo niyapendayo like watching documentaries, kusoma vitabu, kusafiri sehemu mbalimbali, hata kushiriki kazi za kijamii huko kwangu ndio kujipa raha mwenyewe nakufanya Mambo yanayoufuraisha moyo wangu.
Pole kwa kuwaza vibaya mkuu wengine hatuko hivo, jifunze kuwa positive kujipa raha sio lazima ujichue ujiharibu uume bure[emoji23][emoji23][emoji23]

There is nothing negative with what i wrote, ila hizo notion zako unaenda nazo ngoja umri uende utakuja kuleta mrejesho hapa, mimi ni mwanaume na wanaume nawajua sana
 
Miezi miwili tu nilijisepesha, mtu unampigia simu ananuna, namuambia nammiss analalamika namtoa kwene mood anafanya kazi, hakutafuti ukimtafuta ugomvi [emoji23][emoji23][emoji23] huwa nabaki tu kucheka ni bora kuwa single kuliko mahusiano ya hivi.
 
Habari wakuu,

Hii kitu naiona kwa upande wangu sijui kwa nyie wenzangu. Yaani upo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu na mpo karibu lakini kupata penzi ni kwa manati. Hapa naongelea wale ambao hatujaoa sijui kwa wale wanaoishi pamoja hali ikoje.

Binafsi mimi sinaga tabia ya kuanza kujiliza liza kwa mtu japo inaumiza sana. Yaani inafikia hadi miezi miwili na kuendelea hujalamba kitu dah! ila story mnapiga fresh tu lakini siku ukimpanga aje hiyo siku inapita hivi hivi na haoneshi hata kujali na siku zinasonga.

Je, kwa ambao yashawakuta huwa mnahandle vipi?

TUTAFUTE PESA ZA KUTOSHA KWA KWELI.
Mkuu nimewai kuwa na mpenzi one year ajawai kunipa madai yake hadi tuoane for sure alikua ananipenda nilimpenda pia lakin swala la mchezo alikataa kabisa kunipa demu alikua na element za kilokole madai yake alikua bikra pia mimi nikaona ni utopolo nikampiga chini. Mademu bikra ni changamoto sana

Kiukweli haikua rahisi lakin ilibidi kumpiga chini japo nilimpenda sana saivi najipigia zangu nyeto bila stress life linazonga...tena naona naenjoy life kinoma sina mtu wakunisumbua ooh ujapokea simu ooh ujanipigia leo ooh mbona uko kimya hayo na mambo yakulala na simu sikio sina saivi

Kwa scenario yako uyo mpenz wako anamtu mwingine au umfikishi vizuri ndio maana akiwaza kukupa mchezo anaona utopolo tu maana anajua hamna kitu ataenjoy.

#KUWA NA DEMU AFU MZIGO UPATI NI UTOPOLO PIGA CHINI.
 
Sure kaka kuanzia jana nimezika rasmi mahusiano na nimerudi kwenye chama chetu
Japo nikiri nlikua nampenda sana nayeye kwenye sms anaonesha anajali lakini suala la kutoa mzigo naona labda sistahili.

So Sitajibu sms wala kupokea simu yake
 
Back
Top Bottom