Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

mwanamke anaempenda kweli mwanaume wake anatoa tunda mda wowote hata kama hajiskii, hata akiamshwa saa nane za usiku, atalalamika umemuharibia ndoto yake nzuri ila atakupa tu umle umuache aendelee na ndoto zake.
Siwezi kumpa mtu papuchi yangu hovyo ambaye hajanioa hovyo hovyo na Mimi naweza kutoa papuchi wakati Sina upendo just for the sake ya kutoa ugwadu tu
 
Kwani we ratiba yako kwa mtu wako ikoje
 
Yupo muhuni maeneo fulani , huwa anapelekwa mpaka buza!!
Wakati wewe ukisugulishwa benchi kiana nchi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Siwezi kumpa mtu papuchi yangu hovyo ambaye hajanioa hovyo hovyo na Mimi naweza kutoa papuchi wakati Sina upendo just for the sake ya kutoa ugwadu tu
duniani kuna wanawake kama wewe, halafu kuna wanawake ambao wanajua mwanaume anapenda nini na hashindani nae kumtimizia haja zake na wala hajichukulii kama anatumika au anachezewa na hawazi kuja kuachwa.

wewe hujiamini.
 
Kuna uzi wanaume walikua wanajadili hili
kwamba wanawake wanadhan kumnyima mwanaume ndo kumfanya akuone wathamani kumbe hola
 
Mimi siishi kumfuraisha mtu Ila nafanya kitu moyo wangu unapenda ka sijisikii sifanyi sio mapenzi tu hata Mambo mengine, kwangu upendo sio ngono tu maana nikitaka kujipa raha mwenyewe naweza, naweza tumia chochote kuliko mtu,
Pia I don't expect from anyone wallah
 
Kuna uzi wanaume walikua wanajadili hili
kwamba wanawake wanadhan kumnyima mwanaume ndo kumfanya akuone wathamani kumbe hola
Huo ni mtazamo wenu tu mbona machangu wanatoa tu kila mtu na mtazamo wake mfano Mimi staki mtu anione mwema sijui Nini hayo sijali, kina Cho matter nafanya ninachojiskia basi
 
Back
Top Bottom