cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hahaaa Mimi siko kwenye competition yoyote just misimamo yangu tu maana kila mtu Ni unique kwa namna yake why ni compete na wanaume, competition yangu ni maisha yangu, so hzo inferior or whatever you call I don't give a https://jamii.app/JFUserGuidehuyu anapenda kushindana na wanaume.. wanawake dizain hii wanajiona inferior sana so huwa wanabehave aggressively ili kuficha ile feeling ya inferiority.