Ushawahi kuziona picha zisizo na caption, zenye maana chochezi?

Ushawahi kuziona picha zisizo na caption, zenye maana chochezi?

[emoji1787]
JamiiForums1953189029.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam wandugu,
Mwajionaje na Hali ?

Nyuzi hii ni kwa Ajili ya picha ambazo hazina Caption au text yoyote kuielezea lakini zina ujumbe unachochea, kuvuta, kuelimisha , na Kutafakari.


View attachment 2483524


USISITE KUTIRIRISHA HAPA PICHA YOYOTE YENYE KUFANANA NA MRENGO WA Nyuzi
KARIBUNI
Kama kuku vile na mtama
 
Back
Top Bottom