Ushawahi kuziona picha zisizo na caption, zenye maana chochezi?

Ushawahi kuziona picha zisizo na caption, zenye maana chochezi?

[emoji4]
JamiiForums-172111383.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ule upinde wa mvua au? Basi mtu akipost kapicha kake aweke na tumaneno

!!!! Soma kichwa cha habari.

Mwanzilishi wa hii thread kaandika
“…..picha zisizo na caption…..”

Please read between lines!
 
Back
Top Bottom