Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wee mzee wa quantum mechanicsNataka nichimbe zaidi hayo mambo ya CERN PROJECT...
Nataka siku moja nitoe movies moja kalii inayohusu mambo ya physics
Hii Kanumba alikua anasemaga, "This food is too much pilipili."."Haya chukua, wahi daladala zimejaa sasa hivi." Really???? Mkuu...
Qmmk nimecheka kifala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hapo unakuta hata hajaolewa na hana mahusiano yenye dira. Ana kwelii kazi ipoAisee, ni majuzi tu nimenunua kijumba flani hvi Chenye vyumba vinne vya wapangaji Kodi elfu 40. Sasa bwana ikatokea mpangaji mmoja akawa ametoroka siku ambayo kaahidi kunilipa kodi bila mimi kujua.
Sasa siku hiyo asubuhi nipo kijiweni na wana sina hili wala lile simu inaingia kupokea ni sauti ya kike, demu anabembeleza anataka chumba ameshaoneshwa kakipenda sasa mimi namuuliza chumba gani hiko tukawa hatuelewani, akanipigia tena nikamuelewa basi nikawa nimengamua jamaa wa kile chumba kahama na dalali wamempeleka huyu binti akaone hko chumba.
Yule dada akawa anabembeleza kwa adabu kubwa anaomba aanze na kodi ya miezi miwili kutokana na hali yake si nzuri nikawa nimemkubalia tukapanga jioni tuonane anilipe hiyo hela baada ya kazi.
Jioni ikafika akanielekeza mahali alipo na mimi muda huo nilikuwa nakunywa pombe na wanangu basi chaapu nikachukua pikipiki yangu chafuchafu hadi eneo alipo huyo dada, nikafika pale na kwa namna alivokuwa amesimama ile waiting mood nikawa nimejua ni yeye nikawa nimempita kidogo nikapaki fupa langu nikaanza kazi ya kumuita sasa, kila nikimuita yeye ndo kwanza hanisikii yupo bize na simu yake huku anatingisha nywele, kila nikimuita ananiangalia tu sometimes ananiangalia chini hadi juu, mwisho wa siku akanambia wewe kaka hebu sema shida yako ukiwa hapo nakusikia. Basi ikanibidi nijishushe sana ndiyo akasogea. Nikaanza kumlaumu si vizuri kumdharau mtu namna hiyo, akaanza maneno ya Shombo na dharau.
Kwa utaratibu na unyenyekevu mkuu nikamwambia mimi ndo yule mwenye nyumba umenambia tukutane hapa!!! Yule demu aliona aibu sana akaanza kunishangaashangaa....nikachukua afu 80 nikasepa zangu.....
Mungu yeye ajua kwa nini aliwaumba hvi wanawake.Hapo unakuta hata hajaolewa na hana mahusiano yenye dira. Ana kwelii kazi ipo
Rais wa nchi gani..?Kali sana hio mzee
Soma piga kitabu