Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
" Jamani mwenzenu namiliki BMW"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asijekuwa kuwa mafweleTrack simple tu
muonekano wako ndiyo uliosababisha udharaulike na hata ulichoandika huku bado unajidharaulisha. Huwezi kwenda ofisi yoyote na pensi na sando hiyo moja ni dalili za ushamba. Ofisini kuna aina ya mavazi yanakubalika. Pili kujisifia sijui BMW nao ni ushamba mwingine. Kuna watu hata magari hawana lakini wakifika sehemu wanapewa heshima siyo kwa anachomiliki bali jinsi muonekano wake tu na heshima yake.Heshimu ofisi za watu kwa kuvaa kiheshima. Pensi na sendo ni kuonyesha dharau. Ulianza wewe kuwadharau.
Kali sana hio mzeeMkuu nimeipata moja hiyo inaitwa 3 body mistake...
Humo kuna mizgo ya CERN Project na Particles acceleration...
Hiyo nikiwa naitazama huwa naona kabisa hii sielewi bila msada wa baba ake na swalehe
Nataka nichimbe zaidi hayo mambo ya CERN PROJECT...Kali sana hio mzee
Soma piga kitabu
"Haya chukua, wahi daladala zimejaa sasa hivi." Really???? Mkuu...Wakuu, habari za jioni,
Katika maisha, mtu anaweza kuwa na kariba ya kawaida kabisa kiasi cha mtu mwingine kutojua au kutozoea tabia yake, hali inayoweza kusababisha kudharauliwa. Hata hivyo, baadaye watu hao huweza kugundua kwamba mtu waliyemdhani si wa kawaida kabisa na mawazo yao yanabadilika.
Iliwahi kunitokea siku moja nilipoenda ofisi fulani na kuwakuta wafanyakazi wote wakiwa wanawake. Nilipowasalimia, mmoja tu alijibu, tena kwa nyodo sana. Nilipowaambia kwamba nilihitaji bahasha zilizoachwa na bosi wao, waliniangalia kwa dharau. Wakati huo, nilikuwa nimevaa mavazi rahisi—pensi na sandle—na waliniuliza, "Wewe unazichukua kama nani?" Nikajibu kuwa nimeagizwa, lakini bado walinidharau na kuniambia, "Haya chukua, wahi daladala zimejaa sasa hivi."
Kumbe nilikuwa nimekuja na BMW nje ya ofisi. Walipokuwa wakijiandaa kuondoka, nikashuka ngazi na kwenda kwenye gari langu. Nilipofika kwenye eneo la kuegesha, walionekana kushangaa. Kwa heshima, nikawaambia, "Ingieni niwasogeze." Walikubali, lakini ndani ya gari walikuwa kimya kama wamemwagiwa maji. Walianza kucheka na kutabasamu huku wakifurahia upepo wa AC. Mmoja aliyekaa mbele aliniomba namba yangu ya simu, lakini sikufanya juhudi zozote za kuendelea mazungumzo naye, nikalipotezea tu.
Je, wewe umewahi kudharauliwa na watu, familia, au marafiki kutokana na mwonekano au hali fulani katika harakati za maisha?
Dah hongera sana kwa ndoto mkuuNataka nichimbe zaidi hayo mambo ya CERN PROJECT...
Nataka siku moja nitoe movies moja kalii inayohusu mambo ya physics
Rais wa TFF? Au Rais wa wasafi?wengi
Bonge la pwoitiKuna watu vichwa nunda hata wakikuona na hiyo BMW yako Bado watakuchukulia poa tu.. wenyewe wanachojari kula, kulala,kuamka, kazini, imeisha iyo
Kuhana tanzania ni issue ingine but naona kuna watu wameanza ku invest katika film industry hvo soon tu....Dah hongera sana kwa ndoto mkuu
Ila labda uhame Tanzania teknolojia yetu ipo chini sana
umetumia nguvu sana kutaka kutuaminisha kuwa una BMW..acha ushamba..wanawake wengi hawayajuagi magari..wao wanajali kama linatembea basi...una kariba ya KIHAYA...Wakuu, habari za jioni,
Katika maisha, mtu anaweza kuwa na kariba ya kawaida kabisa kiasi cha mtu mwingine kutojua au kutozoea tabia yake, hali inayoweza kusababisha kudharauliwa. Hata hivyo, baadaye watu hao huweza kugundua kwamba mtu waliyemdhani si wa kawaida kabisa na mawazo yao yanabadilika.
Iliwahi kunitokea siku moja nilipoenda ofisi fulani na kuwakuta wafanyakazi wote wakiwa wanawake. Nilipowasalimia, mmoja tu alijibu, tena kwa nyodo sana. Nilipowaambia kwamba nilihitaji bahasha zilizoachwa na bosi wao, waliniangalia kwa dharau. Wakati huo, nilikuwa nimevaa mavazi rahisi—pensi na sandle—na waliniuliza, "Wewe unazichukua kama nani?" Nikajibu kuwa nimeagizwa, lakini bado walinidharau na kuniambia, "Haya chukua, wahi daladala zimejaa sasa hivi."
Kumbe nilikuwa nimekuja na BMW nje ya ofisi. Walipokuwa wakijiandaa kuondoka, nikashuka ngazi na kwenda kwenye gari langu. Nilipofika kwenye eneo la kuegesha, walionekana kushangaa. Kwa heshima, nikawaambia, "Ingieni niwasogeze." Walikubali, lakini ndani ya gari walikuwa kimya kama wamemwagiwa maji. Walianza kucheka na kutabasamu huku wakifurahia upepo wa AC. Mmoja aliyekaa mbele aliniomba namba yangu ya simu, lakini sikufanya juhudi zozote za kuendelea mazungumzo naye, nikalipotezea tu.
Je, wewe umewahi kudharauliwa na watu, familia, au marafiki kutokana na mwonekano au hali fulani katika harakati za maisha?
We ndio unaroho ya kishamba kucritisize anachokizungumza mtu na kilichotokea sasa kariba ya kihaya ndio inathibitisha kabisa 100% ulichokuwaza, njoo na positive mindset sio upuuzi uliouabdika, inathibitisha kitu kilichopo kichwani mwako!!!umetumia nguvu sana kutaka kutuaminisha kuwa una BMW..acha ushamba..wanawake wengi hawayajuagi magari..wao wanajali kama linatembea basi...una kariba ya KIHAYA...
Shida ya watanzania Mna NEGATIVITY sana Yani mtu akionesha sentence zinazodhaniwa ni kujigamba basi kosa kubwa sana, nani kasema najionesha kuwa Nina BMW? Hapa nimeandika kilichonitokea, na si masuala ya watu kuniona na kunipotezea sasa yanaingiliana vipi na kile nilichokisema kama sio UPUMBAVU Ninini akilini mwako mkuu??Kuna watu vichwa nunda hata wakikuona na hiyo BMW yako Bado watakuchukulia poa tu.. wenyewe wanachojari kula, kulala,kuamka, kazini, imeisha iyo
Ndio hivyo mkuu kikubwa ni kumantain status tuuMimi kazi yangu ina jina kubwa sanaa.Sasa watu wanafikiri nalipwa mamilioni masikini ya Mungu ,kumbe nakunja mia tisa na chenji kabla ya makato mpaka kurudi laki nne na kitu mfukoni.Basi watu mara waniombe niwaazime milioni kumi,mara niletewe prado linauzwa,mara mgeni rasmi wa kuongoza harambee.Kadi za harusi ndio hazina idadi.Kumbe ni masikini mwenye jina kubwaaaa.