Ushawahi kwenda sehemu, baada ya kukuona wakakuchukulia poa, baadaye wakajua wewe ni mtu wa aina gani, wakaanza kukuonea aibu?

Ushawahi kwenda sehemu, baada ya kukuona wakakuchukulia poa, baadaye wakajua wewe ni mtu wa aina gani, wakaanza kukuonea aibu?

Ndio dawa yao hawa receptionist...kuwagegeda tuu. Tena kabla ya kumgegeda akikuvua boxer unamuamrisha iamkie mbooooo
wacha nikuulize mzabzab hata usipomfanyia hivyo lakini ile akikujibu nyodo alafu wewe mwanaume uliyeenda kupata huduma ukampa makavu (yaani ukamkaripia) kwanini huwa wadada wengi wananywea yaani hawakujibu chochote wewe mwanaume?

cc Carlos The Jackal
 
wacha nikuulize mzabzab hata usipomfanyia hivyo lakini ile akikujibu nyodo alafu wewe mwanaume uliyeenda kupata huduma ukampa makavu (yaani ukamkaripia) kwanini huwa wadada wengi wananywea yaani hawakujibu chochote wewe mwanaume?

cc Carlos The Jackal
They like to play with our balls...so ukimkaripoa anona eeh kumbe huyu sio wakuchezea mbupuz zake
 
Jana tu nimetoka kupokea hizo dharau..
Nimeenda kuchukua kamkweche ka waif.
Nilishafanya malipo, sasa Jamaa akanipigia nikachukue Chuma Documents tayari zimekamilika..

Mimi: Dada habari za asubuhi.
Dada: Nakusikiliza
Mimi: Naomba kumwona Dani
Dada: Dani yupi
Mimi: Mmiliki wa hii Ofisi
Dada: Yule haitwi Dani sema Boss Daniel
Mimi: Sawa
Dada: Sawa nini sasa? Unakuja kwenye Ofisi za watu lazima ufuate utaratibu
Mimi: Sawa Dada, samahani
Dada: Haya kawasalimie
Mimi: Kwahiyo Dani hayupo au?
Dada: Sijui.

Nikachukua simu kumpigia Jamaa. Nikamjulisha nimefika Ofisini kwake. Akaja na samahani mkuu, tumechelewesha sana Dokumenti, system ilikuwa chini kwa muda mrefu na blabla kibao.. Sasa ile Gari nyingine utaileta tuiuze au umeghairi? Nikamwambia nimemwachia Mdogo ake waif ajifunzie,
Jamaa: Sawa mkuu, ila hiki chuma waif atakipenda maana wadada wa mjini hizi ndiyo ndinga zao kwa sasa..

Yule Dada akawa kama haelewi elewi kinachoendelea.. Mara namsikia eti Boss tukuwekee Chai au Kahawa?.. Nikamwambia Asante Dada yangu, usijali, niko vizuri.. Mengine yakaendelea.

Kiufupi dada yangu yule alibaki na mshangao! Ila simlaumu, maana ni hulka ya wengi wetu ku judge based on personal apperance...

Mapendo.
Daima!
 
Mwenye nyumba nunua hata gari ndogo aise
Aisee, ni majuzi tu nimenunua kijumba flani hvi Chenye vyumba vinne vya wapangaji Kodi elfu 40. Sasa bwana ikatokea mpangaji mmoja akawa ametoroka siku ambayo kaahidi kunilipa kodi bila mimi kujua.

Sasa siku hiyo asubuhi nipo kijiweni na wana sina hili wala lile simu inaingia kupokea ni sauti ya kike, demu anabembeleza anataka chumba ameshaoneshwa kakipenda sasa mimi namuuliza chumba gani hiko tukawa hatuelewani, akanipigia tena nikamuelewa basi nikawa nimengamua jamaa wa kile chumba kahama na dalali wamempeleka huyu binti akaone hko chumba.

Yule dada akawa anabembeleza kwa adabu kubwa anaomba aanze na kodi ya miezi miwili kutokana na hali yake si nzuri nikawa nimemkubalia tukapanga jioni tuonane anilipe hiyo hela baada ya kazi.

Jioni ikafika akanielekeza mahali alipo na mimi muda huo nilikuwa nakunywa pombe na wanangu basi chaapu nikachukua pikipiki yangu chafuchafu hadi eneo alipo huyo dada, nikafika pale na kwa namna alivokuwa amesimama ile waiting mood nikawa nimejua ni yeye nikawa nimempita kidogo nikapaki fupa langu nikaanza kazi ya kumuita sasa, kila nikimuita yeye ndo kwanza hanisikii yupo bize na simu yake huku anatingisha nywele, kila nikimuita ananiangalia tu sometimes ananiangalia chini hadi juu, mwisho wa siku akanambia wewe kaka hebu sema shida yako ukiwa hapo nakusikia. Basi ikanibidi nijishushe sana ndiyo akasogea. Nikaanza kumlaumu si vizuri kumdharau mtu namna hiyo, akaanza maneno ya Shombo na dharau.
Kwa utaratibu na unyenyekevu mkuu nikamwambia mimi ndo yule mwenye nyumba umenambia tukutane hapa!!! Yule demu aliona aibu sana akaanza kunishangaashangaa....nikachukua afu 80 nikasepa zangu.....
 
Nakumbuka mwaka 2006 tulikua na Meja General jirani yetu sasa ni marehemu na alikua Mkurugenzi Mkuu wa Costech enzi hizo, tulikua tunatoka Arusha kwenda Musoma via Serengeti .
Tukavuka vizuri geti la Ngorongoro, kufika Nabi geti ni saa 12 jioni, Walinzi wa gate wakatupiga mkwara kuwa hawafungui gate ,turudi Ngorongoro..
Meja General akawa ametulia kwa kipindi hicho alikua na cheo cha Brigedea , tukabishana nao yeye mzee ametulia tu kwenye gari ilikua Nissan Patrol- PLATE NUMBER ya shirika maaa alikua anatumia gari ya Costech kutembelea wakati wa liki, kama dakika 15 mzee akashuka kwenye gari akatoa kitambulisho.

Hiyo siku ndo nilijua watu wenye vyeo vya chini wanavyojua kupaparika, yaani Askari game alimwambia mwenzake kwa sauti fungua geti haraka tumekwishaaaaaaaa ni kama alitaka kujinyea saluti akawa anapiga hovyo hovyo tu kila Mara kwa kila mtu..
 
Screenshot_20241205-200534.png
 
Wakuu, habari za jioni,

Katika maisha, mtu anaweza kuwa na kariba ya kawaida kabisa kiasi cha mtu mwingine kutojua au kutozoea tabia yake, hali inayoweza kusababisha kudharauliwa. Hata hivyo, baadaye watu hao huweza kugundua kwamba mtu waliyemdhani si wa kawaida kabisa na mawazo yao yanabadilika.

Iliwahi kunitokea siku moja nilipoenda ofisi fulani na kuwakuta wafanyakazi wote wakiwa wanawake. Nilipowasalimia, mmoja tu alijibu, tena kwa nyodo sana. Nilipowaambia kwamba nilihitaji bahasha zilizoachwa na bosi wao, waliniangalia kwa dharau. Wakati huo, nilikuwa nimevaa mavazi rahisi—pensi na sandle—na waliniuliza, "Wewe unazichukua kama nani?" Nikajibu kuwa nimeagizwa, lakini bado walinidharau na kuniambia, "Haya chukua, wahi daladala zimejaa sasa hivi."

Kumbe nilikuwa nimekuja na BMW nje ya ofisi. Walipokuwa wakijiandaa kuondoka, nikashuka ngazi na kwenda kwenye gari langu. Nilipofika kwenye eneo la kuegesha, walionekana kushangaa. Kwa heshima, nikawaambia, "Ingieni niwasogeze." Walikubali, lakini ndani ya gari walikuwa kimya kama wamemwagiwa maji. Walianza kucheka na kutabasamu huku wakifurahia upepo wa AC. Mmoja aliyekaa mbele aliniomba namba yangu ya simu, lakini sikufanya juhudi zozote za kuendelea mazungumzo naye, nikalipotezea tu.

Je, wewe umewahi kudharauliwa na watu, familia, au marafiki kutokana na mwonekano au hali fulani katika harakati za maisha?
Anyway tushajua kwamba unamiliki mkoko wa maana kitu cha BMW.
 
Back
Top Bottom