Ushawahi kwenda sehemu, baada ya kukuona wakakuchukulia poa, baadaye wakajua wewe ni mtu wa aina gani, wakaanza kukuonea aibu?

Wakuu, habari za jioni,

Katika maisha, mtu anaweza kuwa na kariba ya kawaida kabisa kiasi cha mtu mwingine kutojua au kutozoea tabia yake, hali inayoweza kusababisha kudharauliwa. Hata hivyo, baadaye watu hao huweza kugundua kwamba mtu waliyemdhani si wa kawaida kabisa na mawazo yao yanabadilika.

Iliwahi kunitokea siku moja nilipoenda ofisi fulani na kuwakuta wafanyakazi wote wakiwa wanawake. Nilipowasalimia, mmoja tu alijibu, tena kwa nyodo sana. Nilipowaambia kwamba nilihitaji bahasha zilizoachwa na bosi wao, waliniangalia kwa dharau. Wakati huo, nilikuwa nimevaa mavazi rahisi—pensi na sandle—na waliniuliza, "Wewe unazichukua kama nani?" Nikajibu kuwa nimeagizwa, lakini bado walinidharau na kuniambia, "Haya chukua, wahi daladala zimejaa sasa hivi."

Kumbe nilikuwa nimekuja na BMW nje ya ofisi. Walipokuwa wakijiandaa kuondoka, nikashuka ngazi na kwenda kwenye gari langu. Nilipofika kwenye eneo la kuegesha, walionekana kushangaa. Kwa heshima, nikawaambia, "Ingieni niwasogeze." Walikubali, lakini ndani ya gari walikuwa kimya kama wamemwagiwa maji. Walianza kucheka na kutabasamu huku wakifurahia upepo wa AC. Mmoja aliyekaa mbele aliniomba namba yangu ya simu, lakini sikufanya juhudi zozote za kuendelea mazungumzo naye, nikalipotezea tu.

Je, wewe umewahi kudharauliwa na watu, familia, au marafiki kutokana na mwonekano au hali fulani katika harakati za maisha?
Wanawake wanakuwaga nandharau nyie hawa viumbe...wee ulitakiwa uwagegede wote hao
 
Chai
 
Jana tu nimetoka kupokea hizo dharau..
Nimeenda kuchukua kamkweche ka waif.
Nilishafanya malipo, sasa Jamaa akanipigia nikachukue Chuma Documents tayari zimekamilika..

Mimi: Dada habari za asubuhi.
Dada: Nakusikiliza
Mimi: Naomba kumwona Dani
Dada: Dani yupi
Mimi: Mmiliki wa hii Ofisi
Dada: Yule haitwi Dani sema Boss Daniel
Mimi: Sawa
Dada: Sawa nini sasa? Unakuja kwenye Ofisi za watu lazima ufuate utaratibu
Mimi: Sawa Dada, samahani
Dada: Haya kawasalimie
Mimi: Kwahiyo Dani hayupo au?
Dada: Sijui.

Nikachukua simu kumpigia Jamaa. Nikamjulisha nimefika Ofisini kwake. Akaja na samahani mkuu, tumechelewesha sana Dokumenti, system ilikuwa chini kwa muda mrefu na blabla kibao.. Sasa ile Gari nyingine utaileta tuiuze au umeghairi? Nikamwambia nimemwachia Mdogo ake waif ajifunzie,
Jamaa: Sawa mkuu, ila hiki chuma waif atakipenda maana wadada wa mjini hizi ndiyo ndinga zao kwa sasa..

Yule Dada akawa kama haelewi elewi kinachoendelea.. Mara namsikia eti Boss tukuwekee Chai au Kahawa?.. Nikamwambia Asante Dada yangu, usijali, niko vizuri.. Mengine yakaendelea.

Kiufupi dada yangu yule alibaki na mshangao! Ila simlaumu, maana ni hulka ya wengi wetu ku judge based on personal apperance...

Mapendo.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi kazi yangu ina jina kubwa sanaa.Sasa watu wanafikiri nalipwa mamilioni masikini ya Mungu ,kumbe nakunja mia tisa na chenji kabla ya makato mpaka kurudi laki nne na kitu mfukoni.Basi watu mara waniombe niwaazime milioni kumi,mara niletewe prado linauzwa,mara mgeni rasmi wa kuongoza harambee.Kadi za harusi ndio hazina idadi.Kumbe ni masikini mwenye jina kubwaaaa.
Hii itakuwa kazi ya kuitwa mh.hii ya kukaa na kinyundo juu ya meza, suti nyeusi na shati jeupe. Mimi nilikumbia kabisa, naitwa mh. Huko mtaani,full kuogopwa na kutukuzwa, ila sasa mfukoni hamna kitu, nilikuwa nakunja mia9 na point, wakila makato na mkopo nabaki na 4.5 hv. Jina kuuubwa, kualikwa kwenye event na kuwa mgeni rasmi. Halaf na u incharge usio kuwa na maokoto
 
Hii itakuwa kazi ya kuitwa mh.hii ya kukaana kinyundo juu ya meza, suti nyeusi na shati jeupe. Mimi nilikombia kabisa, naitwa mh. Huko mtaani,full kuogopwa na kutikuzwa, ila sasa mfukoni hamna kitu, nilikuwa nakunja mia9 na point, wakila makato na mkopo nabaki na 4.5 hv.
🤣🤣🤣
 
Nilifanya kazi ofisi flan Kwa miaka 7 mimi nikiwa mmoja watu wa kwanza kabisa kuajiriwa kwenye ofisi hiyo, baadaye nilicha kazi baada ya kupata kazi yenye maslahi zaidi.

Siku Moja nilitembela ofisi hiyo baada ya kupits miaka kama 4 hivi, lengo la kutembela pale nilitaka kuwapa tender ya kazi ya maana tu, pale reception nilimkuta Dada Mmoja mrembo haswa lakini bahati mbaya alikuwa na majibu ya hovyo Sana kifupi Hana costumer care.

Nikamuuliza MD yupo? akajibu Kwa dharau kasafiri, nikamuuliza naweza kupata no ya simu, akajibu nimeachiwa ofisi yeye ndiyo boss nimeambie shida yangu...nikaona hamna issue nikaondoka zangu.

Wakati natoka nje ya ofisi kwenye parking nikakutana na Mke wa MD ambaye pia alikuwa ni mmoja wa Wakurugenzi alifurahi Sana tukakumbstiana Kwa Bashasha, nikamueleza sababu ya kuja ofini basi tukaenda ofini kwake kile kidada Cha reception kikaona aibu kweli.

Mwisho tuliongea deal letu nikawapa mchongo wa zaidi ya milioni 170

Toka hapo yule Binti aliweka respect kwangu maana ule mchongo ulisaidia kulipia mpaka malimbikizo ya mshahara yao.

Baadaye nikaja kupita naye shaaa, nikaja kugundua kumbe ni single mom, amezaa na Mtoto wakuu wa mkoa mstaafu maarufu Sana...ambaye huyo mshikaji ni mwana.
 
Wakuu, habari za jioni,

Katika maisha, mtu anaweza kuwa na kariba ya kawaida kabisa kiasi cha mtu mwingine kutojua au kutozoea tabia yake, hali inayoweza kusababisha kudharauliwa. Hata hivyo, baadaye watu hao huweza kugundua kwamba mtu waliyemdhani si wa kawaida kabisa na mawazo yao yanabadilika.

Iliwahi kunitokea siku moja nilipoenda ofisi fulani na kuwakuta wafanyakazi wote wakiwa wanawake. Nilipowasalimia, mmoja tu alijibu, tena kwa nyodo sana. Nilipowaambia kwamba nilihitaji bahasha zilizoachwa na bosi wao, waliniangalia kwa dharau. Wakati huo, nilikuwa nimevaa mavazi rahisi—pensi na sandle—na waliniuliza, "Wewe unazichukua kama nani?" Nikajibu kuwa nimeagizwa, lakini bado walinidharau na kuniambia, "Haya chukua, wahi daladala zimejaa sasa hivi."

Kumbe nilikuwa nimekuja na BMW nje ya ofisi. Walipokuwa wakijiandaa kuondoka, nikashuka ngazi na kwenda kwenye gari langu. Nilipofika kwenye eneo la kuegesha, walionekana kushangaa. Kwa heshima, nikawaambia, "Ingieni niwasogeze." Walikubali, lakini ndani ya gari walikuwa kimya kama wamemwagiwa maji. Walianza kucheka na kutabasamu huku wakifurahia upepo wa AC. Mmoja aliyekaa mbele aliniomba namba yangu ya simu, lakini sikufanya juhudi zozote za kuendelea mazungumzo naye, nikalipotezea tu.

Je, wewe umewahi kudharauliwa na watu, familia, au marafiki kutokana na mwonekano au hali fulani katika harakati za maisha?
Niliwahi kushuhudia.
Tulikua tunasafiri na LAND ROVER chakavu tukitokea kondeni kuvuna mazao.
Njiani gari ikazima moto. Deveva akafungua bonnet kukorokocha, hola. Akatokea jamaa ana gari mbovu mbovu nae anevaa rafu, akasimamisha gari mbele kidogo halafu akatufuata pale tulipo. Akauliza shida akawa kama anapotezewa. Akasogea zaidi pale kwenye bonnet akatia mkono, halafu akamwambia dereva haya piga start. Chuma kikakubali.
Akamfahamisha kwamba hiyo ni point, ikikutokezea tena fanya hivi.
Akamuelekeza jinsia ya kutatua, halafu huyo akaenda zake bila ya kusubiri hata ahsante.
Kufika mbele kidogo tatizo likajurudia lakini kwa kua dereva alikua ameshafundishwa haikua shida tena.
Chaajabu nilichokiona badala ya kumshukuru yule jamaa akawa anamtukana kila akifanikiwa kuondoa ile shida ya point.
 
Nilifanya kazi ofisi flan Kwa miaka 7 mimi nikiwa mmoja watu wa kwanza kabisa kuajiriwa kwenye ofisi hiyo, baadaye nilicha kazi baada ya kupata kazi yenye maslahi zaidi.

Siku Moja nilitembela ofisi hiyo baada ya kupits miaka kama 4 hivi, lengo la kutembela pale nilitaka kuwapa tender ya kazi ya maana tu, pale reception nilimkuta Dada Mmoja mrembo haswa lakini bahati mbaya alikuwa na majibu ya hovyo Sana kifupi Hana costumer care.

Nikamuuliza MD yupo? akajibu Kwa dharau kasafiri, nikamuuliza naweza kupata no ya simu, akajibu nimeachiwa ofisi yeye ndiyo boss nimeambie shida yangu...nikaona hamna issue nikaondoka zangu.

Wakati natoka nje ya ofisi kwenye parking nikakutana na Mke wa MD ambaye pia alikuwa ni mmoja wa Wakurugenzi alifurahi Sana tukakumbstiana Kwa Bashasha, nikamueleza sababu ya kuja ofini basi tukaenda ofini kwake kile kidada Cha reception kikaona aibu kweli.

Mwisho tuliongea deal letu nikawapa mchongo wa zaidi ya milioni 170

Toka hapo yule Binti aliweka respect kwangu maana ule mchongo ulisaidia kulipia mpaka malimbikizo ya mshahara yao.

Baadaye nikaja kupita naye shaaa, nikaja kugundua kumbe ni single mom, amezaa na Mtoto wakuu wa mkoa mstaafu maarufu Sana...ambaye huyo mshikaji ni mwana.
kwenye huduma kwa wateja wadada huwa wanazingua sana! sijui ni kwasababu gani? ni stress, homoni au nini? ukimkuta mama mtu mzima kuanzia 50 sio rahisi kujikweza. Hii tabia mbaya imesababisha sana biashara nyingi kupoteza potential customers
 
Nilifanya kazi ofisi flan Kwa miaka 7 mimi nikiwa mmoja watu wa kwanza kabisa kuajiriwa kwenye ofisi hiyo, baadaye nilicha kazi baada ya kupata kazi yenye maslahi zaidi.

Siku Moja nilitembela ofisi hiyo baada ya kupits miaka kama 4 hivi, lengo la kutembela pale nilitaka kuwapa tender ya kazi ya maana tu, pale reception nilimkuta Dada Mmoja mrembo haswa lakini bahati mbaya alikuwa na majibu ya hovyo Sana kifupi Hana costumer care.

Nikamuuliza MD yupo? akajibu Kwa dharau kasafiri, nikamuuliza naweza kupata no ya simu, akajibu nimeachiwa ofisi yeye ndiyo boss nimeambie shida yangu...nikaona hamna issue nikaondoka zangu.

Wakati natoka nje ya ofisi kwenye parking nikakutana na Mke wa MD ambaye pia alikuwa ni mmoja wa Wakurugenzi alifurahi Sana tukakumbstiana Kwa Bashasha, nikamueleza sababu ya kuja ofini basi tukaenda ofini kwake kile kidada Cha reception kikaona aibu kweli.

Mwisho tuliongea deal letu nikawapa mchongo wa zaidi ya milioni 170

Toka hapo yule Binti aliweka respect kwangu maana ule mchongo ulisaidia kulipia mpaka malimbikizo ya mshahara yao.

Baadaye nikaja kupita naye shaaa, nikaja kugundua kumbe ni single mom, amezaa na Mtoto wakuu wa mkoa mstaafu maarufu Sana...ambaye huyo mshikaji ni mwana.
Ndio dawa yao hawa receptionist...kuwagegeda tuu. Tena kabla ya kumgegeda akikuvua boxer unamuamrisha iamkie mbooooo
 
Mimi kazi yangu ina jina kubwa sanaa.Sasa watu wanafikiri nalipwa mamilioni masikini ya Mungu ,kumbe nakunja mia tisa na chenji kabla ya makato mpaka kurudi laki nne na kitu mfukoni.Basi watu mara waniombe niwaazime milioni kumi,mara niletewe prado linauzwa,mara mgeni rasmi wa kuongoza harambee.Kadi za harusi ndio hazina idadi.Kumbe ni masikini mwenye jina kubwaaaa.
Hiyo nzuri
 
Back
Top Bottom