Omuzaile
Member
- Jan 23, 2019
- 34
- 56
Anaandika Thadei Ole Mushi
AKILI ZA TABIA YA KITROPIK HAZINA MUDA WA KUFIKIRI.
Na Thadei Ole Mushi.
Kitaalamu ipo hivi.
Akili za binadamu wanaoishi kwenye nchi zenye tabia ya nchi za Kitropik huwa hazina muda wa kufikiri sana tofauti na akili za binadamu wanaoishi kwenye nchi za Jangwa au tabia nyingine za nchi ambazo ni hostile kwa binadamu kuishi.
Ndio maana Dubai wanaweza kuwa na maendeleo kuliko Tanzania wakati Dubai ni tabia ya nchi ya kijangwa na Tanzania ni tabia ya Nchi ya Kitropik.
Sababu kubwa ya nchi ambazo ni za kitropik watu kutokufikiri ni mazingira rafiki ya binadamu kuishi. Yaani ni ngumu sana kwa Mtu anayeishi Tanzania kulala njaa kila mahali kuna Chakula sasa akili itawaza nini zaidi ya kulala? Si hivyo tu unaweza kulala nje ya nyumba mwaka mzima na usiugue kabisa.
Anyway pichani ni picha mbili za Yanga na Simba wakitambulisha wadhamini wao. Yanga wanaonyesha mkataba uliosainiwa na pande zote mbili huku Simba wakionyesha Tshirt iliyoandikwa Bilioni 26.
Waiter niitie mtu wa Jikoni 😃😀
Ole Mushi.
0712702602.