OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
inashangaza sana. Unaweza kuwa mzuri kichwani lakini ukishajihusisha na Utopolo tu,akili zinarukaThadeo Ole Mushi hajui dunia ya sasa inaelekea wapi, hiyo style ya kuweka namba kwenye jezi ndio habari ya mjini kwa sasa, mwambieni atembee aone, sio anajifungia kishumundu hajui kitu.