Ushawahi ona mkataba ulioandikwa kwenye nguo?

Thadeo Ole Mushi hajui dunia ya sasa inaelekea wapi, hiyo style ya kuweka namba kwenye jezi ndio habari ya mjini kwa sasa, mwambieni atembee aone, sio anajifungia kishumundu hajui kitu.
inashangaza sana. Unaweza kuwa mzuri kichwani lakini ukishajihusisha na Utopolo tu,akili zinaruka
 
Kumbe na wachezaji kote duniani wanaotambulishwa kwa umma kwa kuvalishwa jezi tu bila kuonesha mkataba huwa wanapigwa!!!

Kumbe na wale wachezaji wote wa uto waliokuwa waatambulishwa kwenye graphic design walipgwa hawana mikataba!!!

Ndo naelewa leo wakuu
 
Makolo wanazingua sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?[emoji23][emoji23]
 
Makolo wanazingua sana kwa kuwa wengi wao hawana akili, akili walizo nazo ni zile za kujua choo kiko wapi. Aisee?[emoji23][emoji23]
Oya wee mwenye hakili, tuoneshe kwenye huu mkataba wenu sehemu ilipoandikwa kiasi na sehemu iliyosainiwa
 

Attachments

  • Screenshot_20220802-161025.png
    73.8 KB · Views: 4
Utopolo wamepagawa hautawabonda, hiyo tar 13 tukishawabonda si wataokota malipo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…