Ushawai date mtu asiyejua kukiss?

Mkuu,
Unajua kuna zile lips ziko wet mda wote...aaah acha kabisa, halafu anajua hadi unajiuliza maswali, huu uzoefu alijifunzia wapi🀣🀣
Mtoto anakiss mpaka unajikuta unasahau kuendelea na maswala mengine, yaani mpaka unasema huyu alifundishwa na mama? Au ex wake alikuwa pro? Au alizaliwa France?
 
Mtoto anakiss mpaka unajikuta unasahau kuendelea na maswala mengine, yaani mpaka unasema huyu alifundishwa na mama? Au ex wake alikuwa pro? Au alizaliwa France?
Mkuu ukiambiwa kuna hela njoo getini hutatokaa kweli 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…