Ushawai kukosea kuagiza menu ya chakula au kinywaji?

Juzi nilienda kkoo nikawa na njaa nikaingia sehem fulan kula sasa chakula kilichopo pale nilichokielewa mimi ni ugali nyama choma.

Kwakuwa ndo chakula changu pendwa mchana huwa nakula ugali nyama choma kwa 3500 mitaa yangu ya job.

sasa pale nikaagiza bila kuuliza bei nimekula nikatoa ten nikarudishiwa buku jero nilishtuka ila nikakausha
 
Si nishazoea maeneo hayo aroud ni kawaida tu .nikajua basi bae zetu ni buku 2 hadi buku 3.kumbe nmejiponza bana
 

[emoji23][emoji23][emoji23] uliza bei kwaza mzee je asingekuludishia chenji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aha kumbe ukiludi tena china jaribu kula supu yao ina test mzuri sana mimi sitaki kujua wanachanganya na nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
No thank you!! Kama naweza pita street nikabana pumz nisisikia harufu yao hayo machakula yao ndio nitaweza hizo supu.

Hapana tena noo🀣🀣🀣🀣🀣
 
No thank you!! Kama naweza pita street nikabana pumz nisisikia harufu yao hayo machakula yao ndio nitaweza hizo supu.
Hapana tena noo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] ase Shanghai huko ukienda kwa wewe utainjoy japo vitu naona ni gharama san
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uliza bei kwaza mzee je asingekuludishia chenji [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninapoingia sehem kwa mara ya kwanza kula huwa siulizi bei naona aibu sijui kwann!!

huwa natoa tu elfu 10 baada ya kumaliza kula akishanipa chenchi ndo namuliza bei ni kiasi fulan ? anasema ndio basi kishingo upande
 
Hahahha ebu tuendelee kipenzi
Kwenye menu nikaona sijui ni chakula gani dada wameandika served with ring onion mie nikaagizaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ukaja sijui ni kama mtori wa makaroni imagine alafu eti na vitunguu pemben vimetiwa unga kama kuku wa KFC vikakaangwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Siji kusahau πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ambavyo siyapendi hayo makaroni date ilikua chungu sana

Since hapo naita muhudumu namuuuliza hii ni nini before kuagiza
 
Mwenye Uzi unatupiga kamba yaani sehemu yako pendwa unaomba menu? We itakuwa mara ya kwanza kufika hapo
Wengine tukifika sehemu zetu pendwa wahidumu wanajua kabisa tunakunywa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…