Ushawai kukosea kuagiza menu ya chakula au kinywaji?

Mwenye Uzi unatupiga kamba yaani sehemu yako pendwa unaomba menu? We itakuwa mara ya kwanza kufika hapo
Wengine tukifika sehemu zetu pendwa wahidumu wanajua kabisa tunakunywa nini.
Ni kwamba kila siku huwa naenda ila siombi menu huwa naagiza kinywaji changu labda kama nataka kula samaki mkavu naletewa ila siku iyo niliomba menu nibadilishe kinywaji
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]including na airfare?

Sasaiv vijana wengi wanakimbilia dubai mtu anaenda na milion 3m na nauli ya kuludia hapo hapo mwishowe wanaishiwa uko wanaza kuomba michango ya nauli ya kuludia
 
Sasaiv vijana wengi wanakimbilia dubai mtu anaenda na milion 3m na nauli ya kuludia hapo hapo mwishowe wanaishiwa uko wanaza kuomba michango ya nauli ya kuludia
M3 including airfare Dubai utaenjoy ila kimaskini maskini 🤣🤣🤣 miez ya joto august/September hivi hizo nyingi utaenjoy for 5/8 days plus shopping kidgo Deira kule…
 
M3 including airfare Dubai utaenjoy ila kimaskini maskini [emoji1787][emoji1787][emoji1787] miez ya joto august/September hivi hizo nyingi utaenjoy for 5/8 days plus shopping kidgo Deira kule…
Sasa ya nini upate shida si ubaki bongo Zanzibar papo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi kama sina hela na tulia zangu home nacheki tv muhimu kisimbuzi kiwe kinaonyesha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora hvyo. Kujifanya Maskini jeuri haifai kulazimisha mambo sio poa
 
Huwaga sikosei iyo sekta siwez agiza kitu sikujui nitautafuta ugali popote ulipo alafu ninakatabia kakuuliza Bei kama haipo kwenye menu hata nikitolewa out sijui ndo umaskini😂😂

Siku mtaletewa mkojo wa ngamia😂😂😂
 
Weeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], tumbo langu liko very sensitive shida sitaki.
Hukuna tofauti na la kwangu, hata mpishi akinidanganya tu kuwa labda maharage kayangu Kisha kulaza kweny friji lzm tumbo langu lingamue on the spot, Mara nyingi nakula vitu fresh tu vinginevyo nivipike mwenyewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ni kwa ally mpemba

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Muhimu kuuliza before kama hakuna menu
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…