Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Ni kwamba kila siku huwa naenda ila siombi menu huwa naagiza kinywaji changu labda kama nataka kula samaki mkavu naletewa ila siku iyo niliomba menu nibadilishe kinywajiMwenye Uzi unatupiga kamba yaani sehemu yako pendwa unaomba menu? We itakuwa mara ya kwanza kufika hapo
Wengine tukifika sehemu zetu pendwa wahidumu wanajua kabisa tunakunywa nini.