cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ilikuajee dyadyaa, tusimuliee.Kvant ilinidhalilisha sana.
Bahati yake siku hiyo sikulala na shemeji yenu...ningeachwa mazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuajee dyadyaa, tusimuliee.Kvant ilinidhalilisha sana.
Bahati yake siku hiyo sikulala na shemeji yenu...ningeachwa mazima.
Ulikua wapi ndugu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] malizia bhana, ulipakwa we see, em lol
Yaaani wewe una bahati..Siku Moja nikiwa kwenye daladala,niliingiza mkono kwenye suruali ya mtu,nikifikiri ni yangu natoa nauli!!tulikiwa tumebanana sana na wote suruali rangi 1
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Aibuuuu.....😩Ilikuajee dyadyaa, tusimuliee.
IlikuajeNilipokuwa mtaani mwaka mmoja kabla ya kwenda chuo nilitambulishwa kwa maza flani hivi kama mama angu mdogo.
Ila kwa muonekano tu ni haendani kuitwa mamdogo.
Katika haraka za huku na kule nikamtongoza bana kiutani utani nae akaingia kwa 18.
Basi mi nikawa kila weekeend naenda kujilia vyangu kwa mamdogo.
Alinifanya kama robot an kila akisikia hamu yeye ni simu moja tu, hata nauli ata tuma na mi bila hiyana mapema kabisa nafika pale kwake.
Kumbe majirani wanachora ule mchezo licha ya kuambiwa mimi ni mtoto wake sina maajabu lakini walijua kuna kitu kinaendelea
Day isiyo na jina mumewe huyu hapa na jamaa alikua ni mjeshi daah
... Ilikua chupuchupu wanidake
Wale mbwa niliwazidi maarifa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ilikua sio poaIlikuaje