Ushawai tongozwa au kutongozwa kutoka group la wasp

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Wengi tuna magroup ya wasp ambayo mengine ya ovyo mengine ya heshima je katika hayo magroup ushawai tongozwa na mtu katika hayo magroup kwa wanawake au wanaume au ushawai kutongoza na wewe ulikuwa unajaribu tu baada ya kuona kama kuna wepesi fulani?
 
Stage ya kuwa na magroup ya WhatsApp nimeshaivuka mkuuu 😎🤝
Ya familia yenyewe kuna muda wananipigia simu kunishtua kuna jambo nipite huko, nimemute notifications maana huko kwenye magroup kuna wale motivational speakers kutwa kutuma videos na magazeti marefu kama mabandiko ya Robert Heriel Mtibeli
 
Moja ya dalili kwamba umaskini unasumbua mtu ni kukaa mbali na magrupu ya WhatsApp ya Familia.

Magrupu niliyopo ya familia wale MASKINI, wale ambao hawajajipata, wale ambao sio wachangiaji wa michango wengi wao sio wachangiaji na wanamitazamo kama yako.
 
Kazi ya group za kifamilia ni kupeana taarifa ya mambo yahusuyo familia na sio soga humo ndani muda wote kama mpo chit chat na si vinginevyo, mnapolifanya group la familia kuwa la soga kila muda ndio sababu ya wachache kutulia kimya wakijua hakuna cha maana zaidi ya soga na hili lina athari sana pale inapotolewa taarifa muhimu. Lengo la group liheshimiwe.

Kuhusu michango ya kifedha nnajitahidi sana kwa hali yangu ila hiyo michango ya soga hapana mkuu.
 
Ni Sawa.
Ila tathmini yangu imeonyesha hivyo. Kuwa watu wengi ambao hawajajipata sio wachangiaji kwenye magrupu ya familia.

Kwenye magrupu ya familia hawachat ila Jamii forum na mitandao mengine ya kijamii wanachat.

Aliyekuambia magrupu ya WhatsApp ya familia lengo like tuu ni michango na sio kupiga soga ni Nani?
 
Umeninukuu vibaya rudia kusoma, sijasema lengo la group la familia ni michango.
 
Tena mibaba haina aibu yanajua una mtu wako bado yanakufata.. Wanajaribu bahati.. Na vijana anakuja na maneno ya kutaka kufikiria unataka mtu akupoze.. Shame.. Hawajui wengine wetu wanatupa raha haswaaa..

Kuna wawili group moja hao wana maliza wake za watu ni hatari..

Sasa mademu wao hao wamma hata hawajuani kama wanapitiwa wote aibu aiseeee

Yanajishaua na ku comment sana mtu unajua huyu tayari kadakwa 🤣🤣🤣🤣🤣

Halafu baada ya kuona wanatemwa wanakuwaga kimya

Sie tulio huru tunakuwa na Amani kabisaaaa maana tunajitambua.
 
Wengi tuna magroup ya wasp ambayo mengine ya ovyo mengine ya heshima je katika hayo magroup ushawai tongozwa na mtu katika hayo magroup kwa wanawake au wanaume au ushawai kutongoza na wewe ulikuwa unajaribu tu baada ya kuona kama kuna wepesi fulani?
tupe uzoefu muungwana ni muhimu sana 🐒
 
Tena mibaba haina aibu yanajua una mtu wako bado yanakufata.. Wanajaribu bahati.. Na vijana anakuja na maneno ya kutaka kufikiria unataka mtu akupoze.. Shame.. Hawajui wengine wetu wanatupa raha haswaaa..

Kuna wawili group moja hao wana maliza wake za watu ni hatari..

Sasa mademu wao hao wamma hata hawajuani kama wanapitiwa wote aibu aiseeee

Yanajishaua na ku comment sana mtu unajua huyu tayari kadakwa 🤣🤣🤣🤣🤣

Halafu baada ya kuona wanatemwa wanakuwaga kimya

Sie tulio huru tunakuwa na Amani kabisaaaa maana tunajitambua.
Hao mademu hawajuani kama wanapitiwa wote ila wewe unajua!!
 
Nilijua tu lazma kuna watu wanawinda kwenye magroup ya Tanesco mle
 
Back
Top Bottom