Tena mibaba haina aibu yanajua una mtu wako bado yanakufata.. Wanajaribu bahati.. Na vijana anakuja na maneno ya kutaka kufikiria unataka mtu akupoze.. Shame.. Hawajui wengine wetu wanatupa raha haswaaa..
Kuna wawili group moja hao wana maliza wake za watu ni hatari..
Sasa mademu wao hao wamma hata hawajuani kama wanapitiwa wote aibu aiseeee
Yanajishaua na ku comment sana mtu unajua huyu tayari kadakwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu baada ya kuona wanatemwa wanakuwaga kimya
Sie tulio huru tunakuwa na Amani kabisaaaa maana tunajitambua.