Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
Kumbe mnakutanaga na vimbwangaTena mibaba haina aibu yanajua una mtu wako bado yanakufata.. Wanajaribu bahati.. Na vijana anakuja na maneno ya kutaka kufikiria unataka mtu akupoze.. Shame.. Hawajui wengine wetu wanatupa raha haswaaa..
Kuna wawili group moja hao wana maliza wake za watu ni hatari..
Sasa mademu wao hao wamma hata hawajuani kama wanapitiwa wote aibu aiseeee
Yanajishaua na ku comment sana mtu unajua huyu tayari kadakwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu baada ya kuona wanatemwa wanakuwaga kimya
Sie tulio huru tunakuwa na Amani kabisaaaa maana tunajitambua.
Mm Sina natafuta uzoefutupe uzoefu muungwana ni muhimu sana 🐒
InafikirishaHao mademu hawajuani kama wanapitiwa wote ila wewe unajua!!
Embu tupe iyoNilijua tu lazma kuna watu wanawinda kwenye magroup ya Tanesco mle
Wanatak wakutafunie hela ya kuustafuMabinti kujitongozesha wamezidi sana
Tangu nifike mjini na vibinti vinanitingishia matako tu, weekend hii nifikishe ile sehemu uliyokuwa unajiweka kwa status unaruka juu ya meza na mimi nataka nikaoshe macho.Wanatak wakutafunie hela ya kuustafu
Ahhaha nitakupa location ijumaa panakuwa vzr sanaTangu nifike mjini na vibinti vinanitingishia matako tu, weekend hii nifikishe ile sehemu uliyokuwa unajiweka kwa status unaruka juu ya meza na mimi nataka nikaoshe macho.
Sawa sawa,na wachumba wawili watatu unipatie kijana.Ahhaha nitakupa location ijumaa panakuwa vzr sana
Umepata kabisaSawa sawa,na wachumba wawili watatu unipatie kijana.