Ushawishi wa makalio katika kupenda/mapenzi

Boeing

Senior Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
151
Reaction score
422
Nikiri tu mimi ni mlevi na napenda wanawake wenye chura/makalio makubwa. Yaani akipita mwanamke mwenye makalio makubwa lazima nimuangalie/nigeukie. Yaani ukiniuliza ni kwanini hata sijui. Hayaongezi hata ladha wakati wa kufanya ila nayapenda tuu.

Vipi mwanaume mwenzangu nawe unatamani chura? Mwanamke mwembamba unaweza kumuangalia/kumgeukia kama mwenye chura? Wakati wa kusex yanaongeza ladha yoyote?
 
Wanaume wa dar ndo wanapenda chura,bila chura wao hawadindi,,ndo maana hata wanawake zao wakaamua kuwa wanavaa madera na chu*pi tu ili kurahisisha mrindimo wa mikia yao,,hii yote ni kwa ajiri ya kuwawezesha wanaume wao wadindishe.
 
Nikiri tu mimi ni mlevi na napenda wanawake wenye chura/makalio makubwa. Yaani akipita mwanamke mwenye makalio makubwa lazima nimuangalie/nigeukie. Yaani ukiniuliza ni kwanini hata sijui. Hayaongezi hata ladha wakati wa kufanya ila nayapenda tuu.

Vipi mwanaume mwenzangu nawe unatamani chura? Mwanamke mwembamba unaweza kumuangalia/kumgeukia kama mwenye chura? Wakati wa kusex yanaongeza ladha yoyote?
Mimi nikiona kamtu kamenyooka ndio nasisimka!
 
Back
Top Bottom