Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi umeanzisha wewe kweli au umecopy pahali?Viongozi wa Kibiashara wa Dunia sio Wanasiasa
Kama hujui kuwa nyie ni ombaomba basi utakuwa mpumbavu. Mashirika kibao ya misaada yamejazana, kama haitoshi rais amezunguka nchi kama marekani, korea kusini na sehemu nyingine na kuomba misaada utadhani ni nchi ya mafukara kumbe ni akili fupi za ccm.Tumeomba nini na wapi?
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA
Tanzania inatarajia kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati baada ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia ombi la Benki ya Dunia (WB) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).
Hayo yameelezwa na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu Mhandisi Innocent Luoga wakati akitoa wasilisho la ujio wa Mkutano huo katika Warsha ya Wahariri na Waandishi wa Habari iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mhadisi Luoga amesema Mkutano huo utahusisha Wakuu wa Nchi 54 katika Bara la Afrika, MaRais wa WB, AfDB, Umoja wa Afrika, Mawaziri wa Fedha na Mawaziri wa Nishati.
Akielezea chimbuko la Mkutano huo, Mhandisi Luoga amesema takwimu zinaonesha kuwa, takribani Waafrika milioni 685 hawajafikiwa na huduma ya umeme hadi sasa kati ya Waafrika zaidi ya Bilioni 1 hivyo Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo Afrika wamekuja na Mpango Mahsusi ujulikanao kama Mission 300 ambao umelenga kuharakisha upatikanaji wa umeme kwa Waafrika Milioni 300 ifikapo 2030.
Ameeleza kuwa, Mpango huo unahusisha nchi zote za Afrika ambapo nchi 14 zimechaguliwa kuanza utekelezaji wa Mpango wa Mission 300 na nchi nyingine zitafuata.
Amezitaja nchi hizo kuwa ni Tanzania, Mali, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Ivory Coast, Bukina Faso, Chad, Liberia, Madagascar, Malawi, Mauritania, Msumbiki, Niger, Nigeria na Zambia.
Ameeleza kuwa, Tanzania imeingizwa katika Mpango huo kwa kuwa ni nchi mwenyeji wa Mkutano kwani imeshapiga hatua kubwa katika usambazaji wa umeme kwa wananchi
Ameeleza kuwa kupitia Mpango Mahsusi wa Kitaifa wa M300 unaofadhiliwa na WB, AfDB na Wadau wengine wa Maendeleo, Tanzania itaweza kuunganishia umeme watanzania milioni 13.5 yaani karibu mara mbili ya uwezo wake katika kipindi hicho cha miaka mitano na hivyo kufanya ongezeko la wateja milioni 8.3.
=======
Mwanadiplomasia namba Moja wa Tanzania na Rais wa JMT Samia SH ameendelea kuonesha Nguvu yake ya ushawishi Duniani Kwa kuwaleta viongozi wa Dunia kuja kushiriki.mkutano wa Kilele wa Nishati Afrika yaani Africa Energy Summit ambao utafanyika Dsm.
Ikumbukwe huu ni mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika ila viongozi wa Dunia pia watakuja Kwa ushawishi wa Rais Samia chini ya ajenda yake kuu ya Nishati safi Kwa Wanawake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQkX53OtJk/?igsh=YzlwNGsxazRtYWVn
View: https://x.com/HabariLeo/status/1882323702877974849?t=poP2DOBaVx634L-e5sUoEA&s=19
View attachment 3196370

Bibi Titi must goSamia mitano tena
Mnapoteza muda kashika mpini kama wameshindwa msumbiji na kuandamana kote kule na bado Rais kaapishwa mtaweza nyinyi wanaharakati uchwara mnajificha mitandaoni jitokezeni hadharani tutajua kweli mmeichoka CcmBibi Titi must go
Bibi Titi must goMnapoteza muda kashika mpini kama wameshindwa msumbiji na kuandamana kote kule na bado Rais kaapishwa mtaweza nyinyi wanaharakati uchwara mnajificha mitandaoni jitokezeni hadharani tutajua kweli mmeichoka Ccm