Ushawishi wa Rais Samia Kimataifa Wawaleta Viongozi wa Dunia Dar Kushiriki Mkutano wa Nishati Safi Afrika

Kama Kuna watu ambao hawana akili kabisa basi ni wewe
 
Viongozi wa Kibiashara wa Dunia sio Wanasiasa
Huu uzi umeanzisha wewe kweli au umecopy pahali?

Inaonekana hata ulichoandika hujakisoma..

Naona huelewi hata ulichoandika ni nini.

Kumbe hao Marais wote waliohudhuria ni 'viongozi' wa kibiashara?
Acha ujinga dogo.
 
Tumeomba nini na wapi?
Kama hujui kuwa nyie ni ombaomba basi utakuwa mpumbavu. Mashirika kibao ya misaada yamejazana, kama haitoshi rais amezunguka nchi kama marekani, korea kusini na sehemu nyingine na kuomba misaada utadhani ni nchi ya mafukara kumbe ni akili fupi za ccm.
 
Punguza uchawa wa Steve Mengele mkutano huu umeitishwa na benki ya maendeleo ya Afrika na waliokuja wanavizia mikopo yake 😡
 
Samia mitano tena
 
Bibi Titi must go
Mnapoteza muda kashika mpini kama wameshindwa msumbiji na kuandamana kote kule na bado Rais kaapishwa mtaweza nyinyi wanaharakati uchwara mnajificha mitandaoni jitokezeni hadharani tutajua kweli mmeichoka Ccm
 
Mnapoteza muda kashika mpini kama wameshindwa msumbiji na kuandamana kote kule na bado Rais kaapishwa mtaweza nyinyi wanaharakati uchwara mnajificha mitandaoni jitokezeni hadharani tutajua kweli mmeichoka Ccm
Bibi Titi must go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…