Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi matendo wanayofanya wahindi waislamu wa pakstan dhidi ya wahindu na singa singa wa pakstan msomi???Hawa jamaa wamekua wakifanya matendo ya kinyama mika na miaka na wanaendelea bila hofu yoyote.
Hii ni hali ilivyokuwa mitaani kipindi cha sikukuu zao za Holi majuzi.
Halafu Watu wakipiga miripiko waitwe magaidi.
View attachment 2545861
View attachment 2545864
Unajua tawala zilizoitawala india msomi kuanzia karne hiyo ya 7Toka karne ya 7.