Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Kila sehemu upo ,kila ukibanwa kimbilio lako ni hilo kuwa mtu aende nchi fulani .
Nipo msomi.Kusafiri kunasaidia na ushauri wangu mkipata nafasi za kusafiri,safirini muione dunia ipoje,msitegemee google tu kupata vyanzo vya habari.
 
Post yako inadhihirisha jinsi gani akili yako ilivyo fupi ,unajiona wewe pekee ndiye uliyesafiri na unajua mimi nimesafiri nchi ngani au hao unaowasema hawasafiri wamesafiri nchi ngapi ?

Mtu anaweza kusafiri kuzunguka dunia nzima na sehemu zote ?
 
Sasa ungesafiri ungejua dini zote duniani zina ubaguzi.
 
Hapo unapoishi wapo waislam?
Wamekutendea ukatili upi so far?

Bongo hawawezi fanya huu ujinga kwa sababu waislamu ni wachache na waliopo wamechanganyika sana na wakristo pia bongo intermarriage kati ya wakristo na waislamu ni kubwa sana,ukiachilia mbali misingi ya umoja na amani iliyoachwa na wasisi wa taifa letu.

Ila kama unataka uone jinsi uislam wakiwa majority unavyokuwa nenda zenji tu hapo uone wakristo wanavyo nyimwa hata haki ya kujenga makanisa yao,achilia mbali kumiliki ardhi.
 
Wahindi ni jamii ya maisha ya ajabu na ustaarabu wao ni kinyume kabisa na jamii nyingine. Mfano, wakati nchi nyinginezo makoloni ya Uingereza yanapambana au kugoma ili yapewe uhuru, Wahindi chini ya Mahatma Gandhi waliamua kujisaidia mitaa ya wazungu ili kuwakomesha. Wanataja wao walipokea uhuru kwa njia za amani ila ndio hivyo ilikuwa njia ya kunyea mitaa na majumba ya wazungu.

Wahindi wabaguzi sana, tena ajabu ni kwamba unaweza mkuta Canada mkiwa wahamiaji nyote ila akakubagua, au nyote mmeenda kusoma Uturuki akakubagua. Ukorofi dhidi ya Waislamu unaonekana kwa sababu hawa hulipana visasi, ni pipa na mfuniko hapo.
Mwislamu akikosea kidogo Wahindu utasikia wamemwaga damu ya nguruwe msikitini na kumpiga sheikh. Baadae utasikia Waislamu wametupa nyama ya ng'ombe mbele ya shrine ya ile dini ya waabudu mungu ng'ombe.

Hiyo ligi haiishi na ina influence eneo la Kashmir, inachangia ugomvi wa Pakistan VS India na ilichangia Bangladesh kupata uhuru. Ila kati ya nchi Waislamu hawatoshinda ni India. Wanaaminihatuwezi kuwa tumeishi miaka zaidi ya 3000 tunafanya hivi kisha unajitokeza unatwambia mtu mmoja uko Saudi Arabia miaka 600 iliyopita alisema tuishi hivi na hivi.

Kidogo wanaweza ishi kama wataheshimu tamaduni za watu na imani zao, na kutotaka kuleta utamaduni wa Kiarabu uliofungamana na dini. Sasa huwa hawafanyi hivyo, tena wakinyanyaswa wanajilipua matokeo yake wanachukiwa kabisa. Kule Myanmar ilibidi Waislamu wawe wakimbizi baada ya jeshi kutaka kuwafuta, chanzo chake ni Waislamu kufanya mashambulizi ya kigaidi na kuwa wanaua wanajeshi mara kwa mara. Jeshi likashindwa kutofautisha magaidi ni nani na wasafi ni nani likafanya mass murder zaidi ya 25,000 walikufa na watu kama 70,000 wakawa wakimbizi.
Asian countries zipelekwe taratibu sio Waafrika wale kwamba unajiendea tu
 
Umeongea pointi
 
Afu kuna kitu nisaidie msomi kuhusu hizi dini na ushoga
Hili halihusiani na mada ila kwa ufupi hakuna dini(uislamu na ukiristo) inayoruhusu ushoga na kuna makatazo makali katika maandiko kutokana na vitendo hivyo mfano Sodoma na Gomora walivyoangamizwa .Ushoga imetokana na Shetani kuwapambia watu na kufuata yale waliyokatazwa na matamanio yao.
 
Wahindi ni jamii ya maisha ya ajabu na ustaarabu wao ni kinyume kabisa na jamii nyingine. Mfano, wakati nchi nyinginezo makoloni ya Uingereza yanapambana au kugoma ili yapewe uhuru, Wahindi chini ya Mahatma Gandhi waliamua kujisaidia mitaa ya wazungu ili kuwakomesha. Wanataja wao walipokea uhuru kwa njia za amani ila ndio hivyo ilikuwa njia ya kunyea mitaa na majumba ya wazungu.

Wahindi wabaguzi sana, tena ajabu ni kwamba unaweza mkuta Canada mkiwa wahamiaji nyote ila akakubagua, au nyote mmeenda kusoma Uturuki akakubagua. Ukorofi dhidi ya Waislamu unaonekana kwa sababu hawa hulipana visasi, ni pipa na mfuniko hapo.
Mwislamu akikosea kidogo Wahindu utasikia wamemwaga damu ya nguruwe msikitini na kumpiga sheikh. Baadae utasikia Waislamu wametupa nyama ya ng'ombe mbele ya shrine ya ile dini ya waabudu mungu ng'ombe.

Hiyo ligi haiishi na ina influence eneo la Kashmir, inachangia ugomvi wa Pakistan VS India na ilichangia Bangladesh kupata uhuru. Ila kati ya nchi Waislamu hawatoshinda ni India. Wanaaminihatuwezi kuwa tumeishi miaka zaidi ya 3000 tunafanya hivi kisha unajitokeza unatwambia mtu mmoja uko Saudi Arabia miaka 600 iliyopita alisema tuishi hivi na hivi.

Kidogo wanaweza ishi kama wataheshimu tamaduni za watu na imani zao, na kutotaka kuleta utamaduni wa Kiarabu uliofungamana na dini. Sasa huwa hawafanyi hivyo, tena wakinyanyaswa wanajilipua matokeo yake wanachukiwa kabisa. Kule Myanmar ilibidi Waislamu wawe wakimbizi baada ya jeshi kutaka kuwafuta, chanzo chake ni Waislamu kufanya mashambulizi ya kigaidi na kuwa wanaua wanajeshi mara kwa mara. Jeshi likashindwa kutofautisha magaidi ni nani na wasafi ni nani likafanya mass murder zaidi ya 25,000 walikufa na watu kama 70,000 wakawa wakimbizi.
Asian countries zipelekwe taratibu sio Waafrika wale kwamba unajiendea tu
Mbona India imetawaliwa na waislamu mamia ya miaka, kina Akbar na kizazi chake toka Mongolia.

Akbar aliifanya India kuwa nchi Tajiri zaidi Duniani na Gdp ya dunia nzima asilimia 24 ilitoka India.
 
Back
Top Bottom