Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Mbona India imetawaliwa na waislamu mamia ya miaka, kina Akbar na kizazi chake toka Mongolia.

Akbar aliifanya India kuwa nchi Tajiri zaidi Duniani na Gdp ya dunia nzima asilimia 24 ilitoka India.
Angalia historia yao na himaya za kihindu utaelewa
 
Hili halihusiani na mada ila kwa ufupi hakuna dini(uislamu na ukiristo) inayoruhusu ushoga na kuna makatazo makali katika maandiko kutokana na vitendo hivyo mfano Sodoma na Gomora walivyoangamizwa .Ushoga imetokana na Shetani kuwapambia watu na kufuata yale waliyokatazwa na matamanio yao.
Umesoma hiyo attachment niliyoambatanisha mkuu.
 
Wahindi ni jamii ya maisha ya ajabu na ustaarabu wao ni kinyume kabisa na jamii nyingine. Mfano, wakati nchi nyinginezo makoloni ya Uingereza yanapambana au kugoma ili yapewe uhuru, Wahindi chini ya Mahatma Gandhi waliamua kujisaidia mitaa ya wazungu ili kuwakomesha. Wanataja wao walipokea uhuru kwa njia za amani ila ndio hivyo ilikuwa njia ya kunyea mitaa na majumba ya wazungu.

Wahindi wabaguzi sana, tena ajabu ni kwamba unaweza mkuta Canada mkiwa wahamiaji nyote ila akakubagua, au nyote mmeenda kusoma Uturuki akakubagua. Ukorofi dhidi ya Waislamu unaonekana kwa sababu hawa hulipana visasi, ni pipa na mfuniko hapo.
Mwislamu akikosea kidogo Wahindu utasikia wamemwaga damu ya nguruwe msikitini na kumpiga sheikh. Baadae utasikia Waislamu wametupa nyama ya ng'ombe mbele ya shrine ya ile dini ya waabudu mungu ng'ombe.

Hiyo ligi haiishi na ina influence eneo la Kashmir, inachangia ugomvi wa Pakistan VS India na ilichangia Bangladesh kupata uhuru. Ila kati ya nchi Waislamu hawatoshinda ni India. Wanaaminihatuwezi kuwa tumeishi miaka zaidi ya 3000 tunafanya hivi kisha unajitokeza unatwambia mtu mmoja uko Saudi Arabia miaka 600 iliyopita alisema tuishi hivi na hivi.

Kidogo wanaweza ishi kama wataheshimu tamaduni za watu na imani zao, na kutotaka kuleta utamaduni wa Kiarabu uliofungamana na dini. Sasa huwa hawafanyi hivyo, tena wakinyanyaswa wanajilipua matokeo yake wanachukiwa kabisa. Kule Myanmar ilibidi Waislamu wawe wakimbizi baada ya jeshi kutaka kuwafuta, chanzo chake ni Waislamu kufanya mashambulizi ya kigaidi na kuwa wanaua wanajeshi mara kwa mara. Jeshi likashindwa kutofautisha magaidi ni nani na wasafi ni nani likafanya mass murder zaidi ya 25,000 walikufa na watu kama 70,000 wakawa wakimbizi.
Asian countries zipelekwe taratibu sio Waafrika wale kwamba unajiendea tu
Na issue ya Myanmar usiongee kabisa mkuu, ugaidi gani Myanmar hivi hata hao waliokuwa wakiuliwa umewaona? Watu wa vijijini kabisa wamechoka vibaya mno. Watu wanafika wanafanya masacre wilaya nzima, watu wamekufa kwa malaki.
 
Bongo hawawezi fanya huu ujinga kwa sababu waislamu ni wachache na waliopo wamechanganyika sana na wakristo pia bongo intermarriage kati ya wakristo na waislamu ni kubwa sana,ukiachilia mbali misingi ya umoja na amani iliyoachwa na wasisi wa taifa letu.

Ila kama unataka uone jinsi uislam wakiwa majority unavyokuwa nenda zenji tu hapo uone wakristo wanavyo nyimwa hata haki ya kujenga makanisa yao,achilia mbali kumiliki ardhi.
Zenji makanisa yanachomwa moto.
 
Angalia historia yao na himaya za kihindu utaelewa
Kama ungekua unajua Historia usingetumia hilo neno Hindu.

Neno hindu halipo kwenye Sankrit, halipo kwenye vitabu vyovyote vya wahindi, hakukua na himaya za wahindu, zilikuwepo tu folk religion.

Unaposema wahindu kwa sasa sio dini bali ni muunganiko wa Dini, Cultural na way of life mbalimbali. Hiyo ya uhindu kuwa dini imeanza hivi karibuni baada ya Foreigners kwenda india.

Enzi hizo Kina Akbar wanatawala hakukuwa na uhindu wala Himaya za Kihindu.
 
Na issue ya Myanmar usiongee kabisa mkuu, ugaidi gani Myanmar hivi hata hao waliokuwa wakiuliwa umewaona? Watu wa vijijini kabisa wamechoka vibaya mno. Watu wanafika wanafanya masacre wilaya nzima, watu wamekufa kwa malaki.
Wabudha wabaguzi,hawawapendi waislamu wenye asili ya Bangladesh wanawaita wahamiaji na kuwanyanyasa sana kule.
 
Wahindu ni jamii ambayo haijastaarabika.
 
Kama ungekua unajua Historia usingetumia hilo neno Hindu.

Neno hindu halipo kwenye Sankrit, halipo kwenye vitabu vyovyote vya wahindi, hakukua na himaya za wahindu, zilikuwepo tu folk religion.

Unaposema wahindu kwa sasa sio dini bali ni muunganiko wa Dini, Cultural na way of life mbalimbali. Hiyo ya uhindu kuwa dini imeanza hivi karibuni baada ya Foreigners kwenda india.

Enzi hizo Kina Akbar wanatawala hakukuwa na uhindu wala Himaya za Kihindu.
Ngoja tumuite muhindi atusaidie hapa ulichosema.Au wewe muhindi msomi
 
Kama ungekua unajua Historia usingetumia hilo neno Hindu.

Neno hindu halipo kwenye Sankrit, halipo kwenye vitabu vyovyote vya wahindi, hakukua na himaya za wahindu, zilikuwepo tu folk religion.

Unaposema wahindu kwa sasa sio dini bali ni muunganiko wa Dini, Cultural na way of life mbalimbali. Hiyo ya uhindu kuwa dini imeanza hivi karibuni baada ya Foreigners kwenda india.

Enzi hizo Kina Akbar wanatawala hakukuwa na uhindu wala Himaya za Kihindu.
Msomi hao akina akbar ni jamii ya watu wa wapi?????Inaonekana hujui historia ya wahindi kama wakazi wa asili wa bara hindi na majirani zao jamii za waafghan,wapashtun,wamongoli,waajemi na nyenginezo nyingi tu zilizovamia bara hindi na kutengeneza himaya kwa maelfu ya miaka.
 
Hapana hujamuelewa huyu mdau.Yeye anaonyesha pia madhara ya wahindu wanayopitia kutoka kwa wahindi waislamu pia wa pakstan.Sasa chuki yake ipo wapi mkuu sijakuelewa msomi au labda mimi sijamuelewa
Yupo sawa, wanachofanya hao wengine ni Suna, wamefundishwa hivyo so kwao ni sehemu muhimu ya Ibada, hivyo hamna shida ila Wahindu na Wakristo mafundisho yao hayaagizi hayo sasa kwanini wafanyie watu wa dini nyingine mambo ambayo hawajaagizwa na dini zao?
 
Back
Top Bottom