Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

joex Chuki binafsi ndio zinazokutesa. Nyinyi ndio wale its okay binaadamu wezio wanyanyaswe as along as they are Muslims.​

Hapana hujamuelewa huyu mdau.Yeye anaonyesha pia madhara ya wahindu wanayopitia kutoka kwa wahindi waislamu pia wa pakstan.Sasa chuki yake ipo wapi mkuu sijakuelewa msomi au labda mimi sijamuelewa
 
Nimesafiri zaidi ya nchi 40 duniani kote ila nilichokigundua, Wahindi ukiwakuta kwao cha moto utakiona. Waislam, halafu wawe wapo india, uarabuni, pakistan nk ni wakatili kwelikweli.
Wakiwa ugenini wana upole wa kinafki. Usikudanganye.
Hapo naweza sema wamekutana na kimeumana.
Yeah nimekaa nchi zenye majority muslim kama Indonesia nimeona makanisa yakivunjwa.
 
Poleni sana. Inasikitisha kuona utu kuthaminiwa kwa kigezo cha dini.
Ila ata waislamu uwatenda vivyo hivyo wasio waislamu kwenye mataifa yao.
Ifike wakati tuweke tofauti za imani zetu pembeni na tuone suala ya Mungu kwa kila binadamu pasipo kuangalia imani zetu.

Mda mwingine nahisi dunia pasipo hizo imani wenda pangekuwa sehem salama kuliko hivi sasa
Umeongea pointi msomi
 
Poleni sana Waislam huko India; lakini ni seme tu kuwa Hata Wakristo huko India the suffer similar attrocities from the Hindu. Wahindu na Waislam wote wamekutana, they don’t have the CHRIST the Prince of Peace. Muslims (Wasuni kuhusu SA) are very smart to cry victims when such incidents happen, Lakini ukweli wao ndyo wanaongoza kwa kutesa Wenzao. Shias in Pakistan, Yazid in Iraq Ahamadia na Christians have had such violences against them
Wakati Saddam ni Raisi Iraq wakrtisto walikuwa wanateswa?

Hii ni Voa
Christians in Iraq enjoyed protection and near-equal rights with Iraq's Muslim majority under Saddam but were among the first groups targeted amid the breakdown in security and sectarian bloodbath that prevailed for years after the 2003 U.S.-led invasion that overthrew him

Wakristo Maelfu ya Miaka wapo hapo Iraq na Marais wa Iraq waliwapa Haki zao kama binadmu wengine, hata yule Waziri wa propaganda wa Sadam Bwana Tariq Aziz alikua ni mkristo,

Then Marekani akaenda pale akawapelekea Demokrasia Ghafla Wakristo wanapigwa vita, Coincidence? Divide and Rule.

Pia hayo makundi yanayoitwa islamist yanaua zaidi waisilamu, ndio Wakristo wanapata shida Iraq ila waisilamu wanapata shida zaidi, na yote haya kayaleta USA na makundi yake pandikizi.

Same story Syria na Nchi nyengine za Middle East Wakristo waliishi maisha mazuri tu na hata waisilamu walipopata shida hawa Wakristo walishirikiana bega kwa bega hata ikiwemo kumwaga damu pamoja kutetea maeneo yao, ila yote haya yakakomeshwa na Vita ambavyo havina Mbele Wala Nyuma.
 
Uarabuni (Middle east) jamii za dini nyingine nje ya waislamu kama wakikrsto,yazid,budha and ect... zinanyanyaswa na kutengwa indirect or directly in every social aspects and ranks.Tatizo Baba mwajuma hujasafiri duniani.
 
We unajua kushinda Wakristo wenyewe? Nilikuekea Ushahidi kibao hapa ila unaingia sikio la kushoto unatokea kulia lengo lako wewe ni kubisha tu na trust me bro evidence, lete kwa reference kama Mwenzako juu alivyo weka links, kama una vitabu ama Links zinazoelezea hayo mateso weka hapa.
 
We unajua kushinda Wakristo wenyewe? Nilikuekea Ushahidi kibao hapa ila unaingia sikio la kushoto unatokea kulia lengo lako wewe ni kuisha tu na trust me bro evidence, lete kwa reference kama Mwenzako juu alivyo weka links, kama una vitabu ama Links zinazoelezea hayo mateso weka hapa.
Wewe unaweka ushahidi wa google. hujawahi kuishi hata Baghdad au Basra.Sisi tumeishi tunachokiongea msomi.
 
Back
Top Bottom