Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Yupo sawa, wanachofanya hao wengine ni Suna, wamefundishwa hivyo so kwao ni sehemu muhimu ya Ibada, hivyo hamna shida ila Wahindu na Wakristo mafundisho yao hayaagizi hayo sasa kwanini wafanyie watu wa dini nyingine mambo ambayo hawajaagizwa na dini zao?
Hili @ Baba mwajuma atusaidie
 
Mbona India imetawaliwa na waislamu mamia ya miaka, kina Akbar na kizazi chake toka Mongolia.

Akbar aliifanya India kuwa nchi Tajiri zaidi Duniani na Gdp ya dunia nzima asilimia 24 ilitoka India.
Mbona pia imetawaliwa na Wakristo mamia ya miaka. Kizazi cha mababu wa Queen Elizabeth kutoka Uingereza. Na utajiri mwingi wa Uingereza umetoka kule, na Africa iligunduliwa katika harakati za kutafuta njia ya haraka ya kuifikia India. Kina Vasco da Gama waliipitia Africa kama uchochoro kwenda kwa Wahindi
 
Na issue ya Myanmar usiongee kabisa mkuu, ugaidi gani Myanmar hivi hata hao waliokuwa wakiuliwa umewaona? Watu wa vijijini kabisa wamechoka vibaya mno. Watu wanafika wanafanya masacre wilaya nzima, watu wamekufa kwa malaki.
Myanmar wale Waislamu huwa wanabaguliwa (sio jambo zuri) na hivyo wakaanza harakati za kujitetea ndio wakaharibu zaidi. Tofauti na watu kama Kurds ambao utapiga utachoka, hao Uyghurs hawana nguvu zaidi za kupambana walipoanza kujitetea kwa mashambulizi ndio kikaja kisingizio cha kuwapoteza kabisa.
Ndio maana nasema hao Asians hasa majirani kina China, India na nchi zenye raia wanaofanana na Wahindi ni za kwenda nao taratibu. Ukitumia nguvu ndio unaumia zaidi za hapo India unapoona fujo hizo watakaokuja kulipa kisasi watatoka Pakistan au kwingineko wakitoka ndani ya India watalipwa. Waislamu wa India hulazimika kuwa watulivu kiasi fulani
 
Wamogul asili yao ni wapi na waliingia bara hindi karne ipi?????Na wamogul walipokuja bara hindi waliwakuta wakazi gani pale msomi???Unajua haya msomi????
Wamekuta Jamii ndogo ndogo ambazo zilikuwa kila jamii ina mila na desturi zake. Wahindi wana miungu mamia kwa mamia kuna miungu waovu miungu wema na kila sifa. Kuna wanaoamini mungu wao mmoja, wengine wanaaamini huyu hawamuamini huyu etc. Muunganiko huu baadae ndio ukaitwa Hindu religion, ila at that time kulikuwa hakuna Dini ya Uhindu.

Na sio India tu nchi zote za East China, Thailand, Mynamar na wengione concept ya dini ni tofauti kabisa na Abrahamic Religions.
 
Msomi hayo maelezo umeyatoa wapi kwa wamogul au wahindi?????
 
Wamekuta Jamii ndogo ndogo ambazo zilikuwa kila jamii ina mila na desturi zake. Wahindi wana miungu mamia kwa mamia kuna miungu waovu miungu wema na kila sifa. Kuna wanaoamini mungu wao mmoja, wengine wanaaamini huyu hawamuamini huyu etc. Muunganiko huu baadae ndio ukaitwa Hindu religion, ila at that time kulikuwa hakuna Dini ya Uhindu.

Na sio India tu nchi zote za East China, Thailand, Mynamar na wengione concept ya dini ni tofauti kabisa na Abrahamic Religions.
Unajua asili ya wamogul msomi walipotokea??
 
Myanmar wale Waislamu huwa wanabaguliwa (sio jambo zuri) na hivyo wakaanza harakati za kujitetea ndio wakaharibu zaidi. Tofauti na watu kama Kurds ambao utapiga utachoka, hao Uyghurs hawana nguvu zaidi za kupambana walipoanza kujitetea kwa mashambulizi ndio kikaja kisingizio cha kuwapoteza kabisa.
Ndio maana nasema hao Asians hasa majirani kina China, India na nchi zenye raia wanaofanana na Wahindi ni za kwenda nao taratibu. Ukitumia nguvu ndio unaumia zaidi za hapo India unapoona fujo hizo watakaokuja kulipa kisasi watatoka Pakistan au kwingineko wakitoka ndani ya India watalipwa. Waislamu wa India hulazimika kuwa watulivu kiasi fulani
Mkuu lakini Ughuyrs na Rohingya ya Mynamar ni jamii mbili tofauti,

Ughuyr asili yao ni waturuki na wapo kwenye Concetration camp china, hawa historia yao wanapigana sana na Hui (waisilamu pia wa china) hui na han ni marafiki sababu wote ni wachina, wanam opress Ughuyr sababu hana mila na desturi kama wao.

Rohingya ni case nyengine, issue ni kama inayotokea Tunisia sasa, una serikali ambayo haikubaliki, ipo madarakani kinguvu, ku divert hali halisi ya Nchi unatengeneza huu Ubaguzi.
 
Dini zote zimeundwa kwa msingi ya kibaguzi.Tazama haya maneno,,,,WATEULE au neno KAFIR.Ni maneno ya kibaguzi msomi
 
Mbona pia imetawaliwa na Wakristo mamia ya miaka. Kizazi cha mababu wa Queen Elizabeth kutoka Uingereza. Na utajiri mwingi wa Uingereza umetoka kule, na Africa iligunduliwa katika harakati za kutafuta njia ya haraka ya kuifikia India. Kina Vasco da Gama waliipitia Africa kama uchochoro kwenda kwa Wahindi
Sijakataa, Nimepinga tu Hoja kwamba India ni Ngumu kutawaliwa na Waisilamu uliandika juu.

Ukipata Mtu mwenye Akili kuwatawala wahindi ni rahisi sana, mpaka sasa wanatumika kote kote na West na East hali wao hawana kitu. Hakuna Utofauti kivile baina ya Africa na India.

Kwa Ukubwa wa India sasa hivi ilitakiwa iwe level moja na Kina Urusi, China, Usa na Japan.
 
Mkuu lakini Ughuyrs na Rohingya ya Mynamar ni jamii mbili tofauti,

Ughuyr asili yao ni waturuki na wapo kwenye Concetration camp china, hawa historia yao wanapigana sana na Hui (waisilamu pia wa china) hui na han ni marafiki sababu wote ni wachina, wanam opress Ughuyr sababu hana mila na desturi kama wao.

Rohingya ni case nyengine, issue ni kama inayotokea Tunisia sasa, una serikali ambayo haikubaliki, ipo madarakani kinguvu, ku divert hali halisi ya Nchi unatengeneza huu Ubaguzi.
Nikusahihishe kidogo msomi Ughury sio asili ya waturuki bali hao wanaoitwa waturuki ndio asili yao ni waughury na jamii nyingine za asia ya kati kama waazeri,mongols,krygiz,uzhekh na nyinginezo nyingi.
 
Sijakataa, Nimepinga tu Hoja kwamba India ni Ngumu kutawaliwa na Waisilamu uliandika juu.

Ukipata Mtu mwenye Akili kuwatawala wahindi ni rahisi sana, mpaka sasa wanatumika kote kote na West na East hali wao hawana kitu. Hakuna Utofauti kivile baina ya Africa na India.

Kwa Ukubwa wa India sasa hivi ilitakiwa iwe level moja na Kina Urusi, China, Usa na Japan.

Ni common sense? Soma hapo

Msomi na wewe unaiamini hii Wikipedia chombo cha wazungu kutoa data????
 
Poleni sana Waislam huko India; lakini ni seme tu kuwa Hata Wakristo huko India the suffer similar attrocities from the Hindu. Wahindu na Waislam wote wamekutana, they don’t have the CHRIST the Prince of Peace. Muslims (Wasuni kuhusu SA) are very smart to cry victims when such incidents happen, Lakini ukweli wao ndyo wanaongoza kwa kutesa Wenzao. Shias in Pakistan, Yazid in Iraq Ahamadia na Christians have had such violences against them
Hao wahindu na waislamu walianza uhasama kitambo ndio chanzo cha India kugawanyika na kuzaliwa taifa la kiislamu la Pakistan mwaka 1949 baada ya Uingereza kuipata Uhuru koloni lake la India.
 
Hapo karibu rudi nyuma toka enzi za mogul empire,s msomi afu rudi nyums mpaka enzi za kina Genghis khan
 
Hapo karibu rudi nyuma toka enzi za mogul empire,s msomi
Kwanini dini ya Hundi haikuenea sana duniani kama uislamu na ukristo mpaka kwa jamii nyingine (race) mfano Africa, Ulaya n.k zaidi ya wahindi tu ?....

.Au sababu walikuwa hawana Vita vya kueneza imani kama jihad na Crusade ?...

.Au sababu dini yao ya Hinduism ina madhehebu na migawanyiko mingi kati yao ?

imhotep T14 Armata MALCOM LUMUMBA
 
Kwanini dini ya Hundi haikuenea sana duniani kama uislamu na ukristo mpaka kwa jamii nyingine zaidi ya wahindi tu ?....

.Au sababu walikuwa hawana Vita vya kueneza imani kama jihad na Crusade ?...

.Au sababu dini yao poa ina madhehebu na migawanyiko mingi kati yao ?
Hili swali tutafute muhindi akujibu,yupo humu.Dini zote zina madhehebu na mikaganyiko msomi
 
Back
Top Bottom