Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Kasome history jinsi Hao waislam walivyofanya Hao WA HINDU kipindi kile mnasambaza UISLAM...... Usilaumu sana watu Wana machungu na visasi
 
Kasome history jinsi Hao waislam walivyofanya Hao WA HINDU kipindi kile mnasambaza UISLAM...... Usilaumu sana watu Wana machungu na visasi

kwa hiyo ni sahihi na wao kufanya zama hizi? Ikiwi babu wa babu yako alinyanyasa watu 1700's Je ni sahihi na wewe unyanyaswe leo 2023?
 
Hata Jiji la Mecca kuwa lilikuwepo ni Uongo na ndyo maana hujawahi kusikia hata siku Moja wanahistoria kuchimbua mabaki ya zamani katika Jiji hilo.

Mbona mnapenda kutuletea mashoga hawa ??

Msikilize anavyo discuss homosexuality na hivyo anavyotikisa viungo

Yaani nyinyi Waislam, mtapata shida sana na hicho kitabu chenu kilichojaa uongo; yaani unalazimishia kabisa kwamba ilikuwepo sehemu inaitwa bakka na waisrael walienda hapo kuabudu. Jamani hilo ni bonde tu, ambapo waisrael walipita walipokuwa wakienda Zion ambayo ndyo ilikuwa centre of their worship. Wewe umeishia tu Zaburi 84:6 nenda mpaka Zab 84:7
 
Hilo ni bonde tu ?? Wayahudi hawa wasikilize

kwa hiyo ni sahihi na wao kufanya zama hizi? Ikiwi babu wa babu yako alinyanyasa watu 1700's Je ni sahihi na wewe unyanyaswe leo 2023?
Usimfundishe mtu jinsi ya kulipiza kisasi. Unachotakiwa wewe usianzishe.
 
Vatican ni dola na iliyochini ya papa,hoja zako ni nyepesi sana tena za kitoto.
 
Hapa mashoga yakipewa haki yao
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…