View attachment 2550248
Ninamjua ila unajua hayo mambo yameandikwa baada ya kizazi Chao ...uandishi wa Qur an ilikuwa ni kukusanya Aya zote katika mpangilko ule ndo maana Qur an haitofautiani ni moja.
Hadithi kuzisoma ili ujue sahili au dhaifu Kuna mambo ya tarekhe(Muda) ujue ni lini mtu alisema Kuna mapokeo .. Sasa ukiangalia lazima utakuta mlolongo na watu walichuja hizo hadithi kwa vile inajulikana hadithi haiwezi kupinga Qur an.
Waislamu tunafuata muongozo wa Qur an (Mungu) sio nan kasema ..ukipingana na Qur an basi sio hadithi