Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar hapo tu ukila wakati wa mfungo unachapwa bakora. Kwanini uende mbali kuwasema wahindu?
Shida watu wanasahau kabla ya kuwa wahindu, waislamu, wakristo, wayahudi, au dini yoyote ile...wanatakiwa wakumbuke kuwa binadamu kwanza.Hawa jamaa wamekua wakifanya matendo ya kinyama mika na miaka na wanaendelea bila hofu yoyote.
Hii ni hali ilivyokuwa mitaani kipindi cha sikukuu zao za Holi majuzi.
Halafu Watu wakipiga miripiko waitwe magaidi.
View attachment 2545861
View attachment 2545864
Upumbavu tuVizuri Islam kuua wengine ni suna
Unaisingizia Indonesia [emoji1129]. Anza na zanzibarYeah nimekaa nchi zenye majority muslim kama Indonesia nimeona makanisa yakivunjwa.
Sema mafundisho ya dini yako kuanzia madrasa yamejazwa chuki. Usiisingizie America .Wakati Saddam ni Raisi Iraq wakrtisto walikuwa wanateswa?
Hii ni Voa
Christians in Iraq enjoyed protection and near-equal rights with Iraq's Muslim majority under Saddam but were among the first groups targeted amid the breakdown in security and sectarian bloodbath that prevailed for years after the 2003 U.S.-led invasion that overthrew him
Wakristo Maelfu ya Miaka wapo hapo Iraq na Marais wa Iraq waliwapa Haki zao kama binadmu wengine, hata yule Waziri wa propaganda wa Sadam Bwana Tariq Aziz alikua ni mkristo,
Then Marekani akaenda pale akawapelekea Demokrasia Ghafla Wakristo wanapigwa vita, Coincidence? Divide and Rule.
![]()
Timeline of Disaster and Displacement for Iraqi Christians
Iraq was estimated to have nearly 1.5 million Christians before the 2003 U.S.-led invasion that toppled dictator Saddam Hussein, and now, church officials estimate only a few hundred thousand, or even less, remainwww.voanews.com
Pia hayo makundi yanayoitwa islamist yanaua zaidi waisilamu, ndio Wakristo wanapata shida Iraq ila waisilamu wanapata shida zaidi, na yote haya kayaleta USA na makundi yake pandikizi.
Same story Syria na Nchi nyengine za Middle East Wakristo waliishi maisha mazuri tu na hata waisilamu walipopata shida hawa Wakristo walishirikiana bega kwa bega hata ikiwemo kumwaga damu pamoja kutetea maeneo yao, ila yote haya yakakomeshwa na Vita ambavyo havina Mbele Wala Nyuma.
Zenji makanisa yanachomwa moto.
Sasa mkuu miaka yooote hiyo ambayo walikua wanaishi kwa Amani mafundisho ya Madrasa hayakuwepo? Why mafundisho ya Madrasa yaanze exactly alivyovamia marekani?Sema mafundisho ya dini yako kuanzia madrasa yamejazwa chuki. Usiisingizie America .
Ni udhaifu wa kutoona mapungufu yako na kusingizia mwingine asiyehusika. Rudi kwenye mafundisho mnayowakaririsha watoto.
Si waahamie Pakistan
Mkuu mimi ndio nauliza ina maana hii adithi idadi:16,245 waislamu hawaitambui????Au wewe ndio huijui mkuu???Hiyo hadith umeitoa wapi? Au umeokota mtandaoni kwa wenzako wazee wa uzushi? Kwenye kitabu gani cha hadith zilizokusanywa?
Nimetolea mfano mkuuUnaisingizia Indonesia [emoji1129]. Anza na zanzibar
Nimetolea mfano mkuuWewe unaongelea mbali huko zanzibar tu hapo ni shida wakristo hawapumui ..
Kwahiyo mkuu Mu'waiya ibn Abu Sufyan wewe humujui????Na adithi idadi:16,245 huifahamu???Nakuambia nenda uarabuni huku mitandaoni utakuta chai mbona bado mbishi unaendeleza huu mjadala wakati case tayari closed ?
Wewe si msafiri unaexposure ya mataifa mbalimbali na unaamini kuwa kujua kitu mpaka udike eneo la tukio sasa unataka vipi nikujibu wakati mimi niko Buza ? naenda Saudi Arabia utapata majibu.
Angekuwa mtu mwingine ningemjibu kwa upana huu mjadala ila kwa vile wewe unatumia ngapi ya kwenda sehemu husika basi usijiangaishe sitokujibu mpaka niende Saudia Arabia kama na wewe unataka kujua naenda huko #CaseClosed
Kuhusu ushoga mkuu ebu tuangalie adithi idadi:16,245 ya mu'waiya ibn abu SufyanKila kitu ukijibiwa kwa hoja unakataa hoja na kusema sio sahihi sababu umeishi nao.
Nimekuuliza swali juu umeongelea ushoga, wewe ni Shoga? Ulikaa nao mashoga? Habari zote Duniani zinazotajwa umezi experience wewe
Ngoja nitafute sheikh anipe maana ya hilo neno adithi dhaifu na anifafanulie hii adithi idadi:16,246 ya mu'waiya ibn abu sufyan.Hautopata majibu tofauti ng'o kwanza ataona kama ni mpya kwa vile hadithi dhaifu hazisomwi ..
Niko pale
Vipi kuhusu adithi idadi:16,246 mu'waiya ibn abu sufyan?????Hakuna kweny uislamu ndo maana Shari nchi zinatumia sharia ni marufuku na huwezi kukuta huo ujinga ila wananchi wanafanya kwa Siri Tena wengi.
Uislamu umepinga kabisa na hukumu yake ni kali..
Online wameandika wazungu wa magharibi ni wazushi na waongoWhy utafute mhindi wakati historia yote ipo online na inajulikana? Yani unamove Magoli kwa kitu kidogo hivi?