Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Kuna pia Surah Al-An'am:Ayah 7 nayo inanichanganya sana kuhusu imani na shiriki (Uchawi) katika muongozo wa mapokeo ya imani ya kiislamu.###Kuuliza sio ujinga bali ni kutaka kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna pia Surah Al-An'am:Ayah 7 nayo inanichanganya sana kuhusu imani na shiriki (Uchawi) katika muongozo wa mapokeo ya imani ya kiislamu.###Kuuliza sio ujinga bali ni kutaka kujua
Kuna pia Surah Al-An'am:Ayah 7 nayo inanichanganya sana kuhusu imani na shiriki (Uchawi) katika muongozo wa mapokeo ya imani ya kiislamu.###Kuuliza sio ujinga bali ni kutaka kujua
Ndyo search Al Fadi. Ni Raia wa Saudi Arabia, lakini si unajua hawa jamaa ukibadili dini tu, unakuwa halali yao-wana kuua hivyo alikimbilia Marekani.Anaitwa Al Fadi????? Ni raia wa nchi gani msomi????
Kuna kitu kuhusu uislamu naomba unisaidie mkuu.Mfano kwa nchi za Sudani kaskazini na Pakstani,Saud arabia,Kuwait,Afghanistan ya mujahedin na sasa Talban kama umezaliwa muislamu na ukibadili dini kutoka uislamu kwenda dini nyingine ni kosa la jinai na unahukumiwa kifo katiba za nchi hizo zipo hivyo.Lakini ukibadili dini nyingine kwenda uislamu hakuna shida.Hili unalijua msomi kua linapingana na Al-Baqara 2:109 na Ar-Imran 3:20 au nakosea msomi?????Nimetolea mfano hizi nchi tu ila zipo nyingi zina sheria hii katika IOC.#####Kuuliza sio ujinga ni kutaka kujuaNdyo search Al Fadi. Ni Raia wa Saudi Arabia, lakini si unajua hawa jamaa ukibadili dini tu, unakuwa halali yao-wana kuua hivyo alikimbilia Marekani.
#NendaUarabuni#MrMsafiriKwahiyo huyu Muwa'iya Ibn Abu Sufyan sio mkweli ni muongo na anachoadithia kuhusu Muhamad na Ali ni uongo kwenye adithi idadi:16,245 au kuna ukweli unafichwa hapa.Ucjali ndugu nitawatafuta wanazuoni wa Riyadh wanijuze zaidi kuhusu uislamu na hii adithi idadi:16,245 ya Ibn Abu Sufyan na kwanini baadhi ya adithi katika uislamu zinaitwa afifu hasa pale zinaposimulia mambo yaliyotendeka katika jamii.##Kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.
Nimekuelewa msomi mwezangu,but no hard feeling katika kutafuta ukweli###Kuuliza sio ujinga.#NendaUarabuni#MrMsafiri
Mitandaoni ,gugo na vitabu uhalisia mdogo ili mtu kujua kwa undani na uhalisia unajitaji update taarifa husika katika eneo lenywe na sio kusimuliwa .
Sitarajii uniulize tena maswali Mr Msafiri mimi nitawajibu wenzangu wa hapahapa .
Jiulize kwanini waislam wote, waarabu, Afghanistan Somalia wanakimbilia ulaya na Marekani? Kwa sababu wanakuwa huru to practice their faith. Lakini sasa huwa mnapitiliza mipaka. Uhuru Kama lhuo dini nyingine hawaupati kwenye nchi za kiislam.Hivi uliwahi kwenda nchi za ulaya ukaona waislamu wanavyofanyanyaswa??
Marekani, Norway ,Sweden , Denmark mpaka kitabu cha Quran kimechomwa moto .
Denmark walimchora na kumtukana mtume .
Hivi kuna nchi yoyote ya kiislamu ilichomwa biblia na kutukanwa yesu ??
Mkuu samahani unaweza kunifafanulia hili la kuhusu ushirikina na muongozo wa wafuasi wa Allah maana hapa kwa tafsiri ya kiarabu na kiswahili inaonekana kuna kitu hakielezewi kwa uwazi (Surah Al-An'am:Ayah 7) #####Kuuliza sio ujinga ni kutaka kujuaJiulize kwanini waislam wote, waarabu, Afghanistan Somalia wanakimbilia ulaya na Marekani? Kwa sababu wanakuwa huru to practice their faith. Lakini sasa huwa mnapitiliza mipaka. Uhuru Kama lhuo dini nyingine hawaupati kwenye nchi za kiislam.
Ona hapa chini Uingereza waislam wameruhusiwa kuwa na Islamic Sharia Councils
Govana Tunis akili Kama Jina lako - Yehovalinavyokuheshimisha. Issue yangu iko kwenye kitabu chenu Quran, Mtume wenyewe Mohamed na Mungu wa Wuran Allah. mafundisho yake. Hapa wewe unaleta suala la Serikali za Kibinadamu. Ningekuuliza je kuna issue yeyote Shiri ya Yesu na Biblia na Mungu wa Biblia- Yehova?
Jiulize kwanini waislam wote, waarabu, Afghanistan Somalia wanakimbilia ulaya na Marekani? Kwa sababu wanakuwa huru to practice their faith. Lakini sasa huwa mnapitiliza mipaka. Uhuru Kama lhuo dini nyingine hawaupati kwenye nchi za kiislam.
Ona hapa chini Uingereza waislam wameruhusiwa kuwa na Islamic Sharia Councils
Govana Tunis akili Kama Jina lako - Yehovalinavyokuheshimisha. Issue yangu iko kwenye kitabu chenu Quran, Mtume wenyewe Mohamed na Mungu wa Wuran Allah. mafundisho yake. Hapa wewe unaleta suala la Serikali za Kibinadamu. Ningekuuliza je kuna issue yeyote Shiri ya Yesu na Biblia na Mungu wa Biblia- Yehova?
Rabbi anasema wakristo kwa mujibu wa Torah hamna haki ya kuishiMkuu samahani unaweza kunifafanulia hili la kuhusu ushirikina na muongozo wa wafuasi wa Allah maana hapa kwa tafsiri ya kiarabu na kiswahili inaonekana kuna kitu hakielezewi kwa uwazi (Surah Al-An'am:Ayah 7) #####Kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua
Mkuu samahani unaweza kunifafanulia hili la kuhusu ushirikina na muongozo wa wafuasi wa Allah maana hapa kwa tafsiri ya kiarabu na kiswahili inaonekana kuna kitu hakielezewi kwa uwazi (Surah Al-An'am:Ayah 7) #####Kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua
Wewe Gavana tumia akili angalau kidogo tu!! Hitler Was a Nazi and what drove him to start the war was his white supremacy ideology and not Christianity. Nyinyi Waislam mnaanzisha vita kwa Jina la Allah. Somalia, iSIS, Afghanistan, Boko Haram- Nigeria, Mozambique, Mali, Burkinafaso, Algeria. Kuna Muingereza Mulimchinja kule London, kuna Mwalimu mkamchinja Ufaransa

Wahindi wakiwa wapo Uarabuni hawana jambo maana ni vijakazi tu.Nimesafiri zaidi ya nchi 40 duniani kote ila nilichokigundua, Wahindi ukiwakuta kwao cha moto utakiona. Waislam, halafu wawe wapo india, uarabuni, pakistan nk ni wakatili kwelikweli.
Wakiwa ugenini wana upole wa kinafki. Usikudanganye.
Hapo naweza sema wamekutana na kimeumana.
Hitler did not kill in the Name of Jehovah. Hao viongozi wa dini walichofanya kwanza Jehovah doesnt approve, ila walichofanya ni kama kile wanavhofanya viongozi wa dini zote hapa Tanzania, kuwa upande wa Serikali ya Nchi yao. Shekhe wenu hafanyi hayo hapa Tamzamia? Najua hata Maaskofu wanaunga mkono serikali yao![]()
Tumia akili usiburuzwe na viongozi wa kanisa lako
Ona sasa alichofanya muislamu mwenzioHitler did not kill in the Name of Jehovah. Hao viongozi wa dini walichofanya kwanza Jehovah doesnt approve, ila walichofanya ni kama kile wanavhofanya viongozi wa dini zote hapa Tanzania, kuwa upande wa Serikali ya Nchi yao. Shekhe wenu hafanyi hayo hapa Tamzamia? Najua hata Maaskofu wanaunga mkono serikali yao
Hitler did not kill in the Name of Jehovah. Hao viongozi wa dini walichofanya kwanza Jehovah doesnt approve, ila walichofanya ni kama kile wanavhofanya viongozi wa dini zote hapa Tanzania, kuwa upande wa Serikali ya Nchi yao. Shekhe wenu hafanyi hayo hapa Tamzamia? Najua hata Maaskofu wanaunga mkono serikali yao