Naanza kusema msimamo wangu, Sisapoti kinachooneka hapo.
Lakini tuseme yaliyopo.
Hao ni innocent Muslims waliopo India huko, ambapo wana nyanyasika, wakipigwa mawe, machupa ya maji hata kuwa ktk hati ya kupoteza uhai wao, just kwa sababu tu ni waislam.
Je ni haki? Ni sawa? Kumdhuru ,kumnyima mtu amani na raha just sababu tu ni dini fulani?. Ubaguzi wa dini.
Turudi kuongea ukweli bila kupepesa macho, nahisi hiii dhambi ya unyanyapaa wa Dini zingine ni miongoni mwa matendo mengi ya hawa wenzetu waislamu, ni wadau ktk hilo. Ingawa wanazuoni na wasomi wanasema Quran inakataza hayo mambo ( Mimi sijui). Lakn imekuwa yanafanyika sanaa.
Tumeona wakristo wakichinjwa, kuuliwa ,kisa tu ni wakristo. Je, hiii ni kuwa dhambi ya ugabuzi inarudi kwao? Au ni wamekutana na wenzao wa piga piga?
Lakini nilicho gundua, hao Wahindu, Muslims ni wapole wakiwa ktk nchi za ugenini, hukuti marekani au taifa kubwa wakifanya hayo wazi, ILA UKIENDA KTK HIMAYA ZAO NI KISANGA, ANYWAY TUJITEKEBISHE ,TUWE NA MISULI YA KUSTAHIMILI IMANI YA MWENZIO
View attachment 2554010