Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Kwanza nikushkuru kwa pongezi kwa haya machache ninayo wafungulia vijana.
Pili niseme tu kwamba ahsante kwa kuni allocate pale kwa Mzee Mwanga kwenye kuku choma na ikiwa utafika viunga vya pale, naomba fikisha salam zangu kwa sheji yangu Secy.
Mimi leo kwakuwa vijana wamerejea, hapa napanga niwapeleke Pizzeria wakakule Pizza na pia wacheze na kubembeya.
Salamu zimefika mkuu kwa mpare yule [emoji38][emoji38]. Pizzeira hilo chimbo geni masikioni mwangu. Mimi sehemu nzuri ya kupeleka watoto watoto ninayoijua ni Fantasy Village Msalato.