Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Kwanza nikushkuru kwa pongezi kwa haya machache ninayo wafungulia vijana.
Pili niseme tu kwamba ahsante kwa kuni allocate pale kwa Mzee Mwanga kwenye kuku choma na ikiwa utafika viunga vya pale, naomba fikisha salam zangu kwa sheji yangu Secy.
Mimi leo kwakuwa vijana wamerejea, hapa napanga niwapeleke Pizzeria wakakule Pizza na pia wacheze na kubembeya.
Arusha nitakupa location karibu na shule ya sekondari utauza ugoro kwa siku faida sio chini ya 19,500Manengelo hataki dodoma njoo arusha basi.
Sawa boss niko hapa ngulelo karibu na kwa mrefu 😂😂😂😂Arusha nitakupa location karibu na shule ya sekondari utauza ugoro kwa siku faida sio chini ya 19,500
Ahsante sana Chief...
Tupo pamoja
Tengua kauli, wengine unao tufungulia milango tulisoma sayansi kimu praimari skuli na siasa olevo.Kwanza nikushkuru kwa pongezi kwa haya machache ninayo wafungulia vijana.
Pili niseme tu kwamba ahsante kwa kuni allocate pale kwa Mzee Mwanga kwenye kuku choma na ikiwa utafika viunga vya pale, naomba fikisha salam zangu kwa sheji yangu Secy.
Mimi leo kwakuwa vijana wamerejea, hapa napanga niwapeleke Pizzeria wakakule Pizza na pia wacheze na kubembeya.
Ahsante kwa maombi chief...Tengua kauli, wengine unao tufungulia milango tulisoma sayansi kimu praimari skuli na siasa olevo.
Andiko lako limetufanya tuache vyeti vya chuo pembeni tuingie mtaani kuitafuta mia mbili.
Niseme tu Mungu akubariki japo nakuombea kilevi levi
Mkuu ushimen kwa dodoma wap naweza fanya biashara ya kuuza chips mayai,mishkak nk Nina mtaji wa kama laki 7 kwa sasa ivPole na hongereni kwa kuwa wenye afya njema. Na kwapamoja tuwaombee wale wote ambao wakati kama huu hawana nafasi ya kusoma haya tuliopata pumzi ya bure na tukayasikia, kuona, kusoma na kuchangia.
Kwakuwa Mungu wetu ni mwema, basi yote kwake ni mema pia.
1. Ungekua Dom ningekupa wazo/location ya biashara ya chipsi dume, na ninahakika hapa ungeweza kupata faida isiyo punguwa 10 elfu per day, kwa mtaji usio zidi elfu 300.
2. Pia ningeweza kukupa wazo/location ya biashara ya majeneza ambapo ungeweza pata faida isiyo punguwa 100 elfu kwa kila wiki kwa mtaji usio zidi elfu 1,200.
3. Na ningekupa wazo/location yenye ungefanya biashara ya matunda kwa mtaji usio zidi 400 kwa kupata faida isiyo punguwa 12 elfu daily.
4. Alafu ninge kupa wazo/locations kadhaa ya kufanya biashara ya shoe shine/kusafisha viatu kwa mtaji usio zidi 100 elfu na ukapata faida isiyo punguwa 5 elfu kila kukicha.
Ebu ngoja nimalizie kwanza hii whatever-Vant, then kesho nitakuja na mawazo mengine kwenye muendelezo.
Mkuu, ebu pitia tena huu uzi vizuri na bilashaka utaona some locations ambazo nimezielekeza kwa aina ya biashara unayo hitaji kuifanya.Mkuu
Mkuu ushimen kwa dodoma wap naweza fanya biashara ya kuuza chips mayai,mishkak nk Nina mtaji wa kama laki 7 kwa sasa iv
Elimu ni sawa inahitajika sana, lakini jambo lingine ni ushirikiano. Hata kama unajua kitu unahitaji kusikiliza kwa mtu mwingine na hayo yote yanatakiwa kwenda sawa na bidii ya kazi.Tengua kauli, wengine unao tufungulia milango tulisoma sayansi kimu praimari skuli na siasa olevo.
Andiko lako limetufanya tuache vyeti vya chuo pembeni tuingie mtaani kuitafuta mia mbili.
Niseme tu Mungu akubariki japo nakuombea kilevi levi
Hii biashara nimewahi kuifikiria hapa ninapoishi kwa kua kuna bar kubwa tu ya uhakikaMkuu, ebu kwanza fanya zowezi moja ambalo pengine linaweza likakufaa kwa siku ya ijumaa.
Jipe muda na uende pale Stella Bar Nkuhungu, kisha kaa mwanzo kabisa kwenye kilinge cha pale mwanzoni kabisa kama unaingia Stella.
Ukishapata eneo la kukaa, hakikisha utakapo kaa unakuwa unamuona/unamtazama vizuri sana yule kijana pale anaeuza Popcorn/Bisi pembeni ya kibanda cha M-pesa.
Fanya zowezi la kumuhesabia mifuko ya kaki ambayo anafungashia bidhaa zake, na angalia ni wateja wangapi wanachukua mzigo pale kwa masaa hata matatu.
Baada ya hapo, siku inayo fuata nenda pale Malaika Annex Bar, kisha fanya tathmini kwa ile biashara uliyo iona Jana pale Stella, na kisha linganisha na wingi/idadi ya watu/wateja utakao waona pale Annex, alafu jitathmini na wewe kwamba nini ama kipi kinakufaa kufanya.
Na hizi biashara hazihitaji nguvu wala muda wako mwingi sanakuu, zaidi ukipata kijana mnazungumza na kisha mnakubaliana akulipe posho ngapi/day ama weekly.
Ahsante sana kwa hoja
Mkuu....Hii biashara nimewahi kuifikiria hapa ninapoishi kwa kua kuna bar kubwa tu ya uhakika
Je naweza nikaingiza pesa kwa kuuza popcorn karibu na bar
Wanywaji huwa wana nunua pop corn mkuu ushimen kwa uzoefu wako uliouona hapo?
Nalifanyia kazi hili mkuu ila kama ni bar ina maana hii biashara lazima itakua nyakati za kuanzia usiku ambapo walevi/wanywaji wanakua wengiMkuu....
Popcorn zinaliwa sana na watumia vilevi pamoja na wasio tumia vilevi.
Kama upo karibu na Bar, nakushauri uanzishe hiyo biashara na tengeneza ama tumia vufungashio vya bahasha za kaki kwa kila mteja anae hitaji bidhaa yako.
Hakikisha unapata kijana msafi na kidogo mwenye unadhifu (hapa unaweza amuwa ukamnunulia suruali black na shati white ili walau awe na muonekano mzuri) and you will thank me later.
Ili uifanye vizuri, basi itapendeza kama hasa utaianza kuanzia mida ya saa 12 jioni pindi jua linapo elekea machweo.Nalifanyia kazi hili mkuu ila kama ni bar ina maana hii biashara lazima itakua nyakati za kuanzia usiku ambapo walevi/wanywaji wanakua wengi
Mtaji wa wa kitu sijui unaweza kua ni bei gani?
Nilipanga na mimi mwenyewe nifanye hasa nyakati za usiku.
Una ushauri mzuri sana kaka,ubarikiwe
Sawa asante kwa ushauri nitafuatilia bei ya hizo mashine nijue ila kuhusu umeme nilikua naona mashine inayotumia gas itakua ndio nzuri,nitafanya utafiti kwa wauzaji nijue mashine ipi ni bora zaidiIli uifanye vizuri, basi itapendeza kama hasa utaianza kuanzia mida ya saa 12 jioni pindi jua linapo elekea machweo.
Na ili uifanye vizuri zaidi, siku za juma mosi na jumapili pia ikikupendeza nakushauri ufunguwe kuanzia mida ya saa NNE asubuhi, sababu hiyo ni mida ambayo familia nyingi hupita kwenye maeneo kama hizo ili kupata supu na kukata Lock. Mara nyingi siku za weekends sisi huwa tunapendelea kwenye maeneo yale na watoto hasa hiyo mida wa kuanzia saa NNE ili pengine tupate chakula cha pamoja kabla mida ya walevi haija fika.
Kuhusu bei za machine za popcorn niliwahi kuambiwa kwamba zina chezea 500k - 800k hapo unaweza fanya utafiti mwenyewe ili ujuwe bei sahihi.
Kimsingi ukisha ipata machine, hapo unatakiwa uwe na kiti kimoja ama viwili, vifungashio vyako, pamoja na umeme ambapo hilo unaweza fanya mazungumzo na popote palipo na umeme karibu na eneo lako la biashara.
Pia nakukumbusha kuweka taa yenye mwanga mkali, ili giza linapo ingia uweze kuonekana vyema wewe bidhaa yako.
Mkuu kwema?Elimu ni sawa inahitajika sana, lakini jambo lingine ni ushirikiano. Hata kama unajua kitu unahitaji kusikiliza kwa mtu mwingine na hayo yote yanatakiwa kwenda sawa na bidii ya kazi.
Mkuu, naomba nikupongeze kwa kupata wazo na jicho la fursa.Mkuu kwema?
Jumamosi iliyopita nilikuwepo UDOM, kwa muda mfupi nilio kaa pale nimegundua kuna shida ya usafiri kwa wanafunzi ndani ya chuo, nimeona bodaboda tena chache sana.
Napataje koneksheni pale ili nifanye usafiri wa Bajaji?
Uwe na jioni njema shemeji [emoji120]
Ahsante ndugu yangu.Mkuu, naomba nikupongeze kwa kupata wazo na jicho la fursa.
Pale UDOM kama uliona fursa sasa niwakati wako wa kutoa nje hilo wazo na kulifanya liwe fursa.
Binafsi sijawahi kufika mitaa ya UDOM mara nyingi, na kama ni connection hapo naamini ni wewe sasa kufanya utafiti wa kina pamoja na kuweka strategics zako mujarab kabisa, kisha zama mfukoni na uingie kwa dula la bajaji...
Karibu sana Dodoma mkuu, na Dodoma bado kuna fursa nyingi sana tena kwa mitaji midogo ambayo inakidhi kitambulisho cha Magufuli kwa 20,000Ahsante ndugu yangu.
Mkuu, ugeni wangu kwa huo mkoa unaniponza,lakini nitajitahidi mwisho wa mwezi huu nirudi ili niweze kupata nafasi ya kuonana na wahusika wa maeneo hayo.
Nashukuru sana kwa kunitia hamasa.
Nafsi yako imejaa upendo. Najua ni asili yenu lakini wewe ni zaidi maana hauna tabia ya kujikweza.Karibu sana Dodoma mkuu, na Dodoma bado kuna fursa nyingi sana tena kwa mitaji midogo ambayo inakidhi kitambulisho cha Magufuli kwa 20,000