"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu mjumbe japo siungi mkono hoja ya kubadili avatar na kuacha masihara.

Avatar yako na masihara yako ndio ID yako. Ukibadilisha hautakuwa tena Ushimen labda ubadili na username.

Sometimes ni busara mtu kujibadilisha yeye ili aende sawa na wewe kuliko kutaka wewe ndio ubadilike uendane nae. Hiyo ni selfishness.
 
Asante ndugu mjumbe.
Pia nashkuru kwa maoni yako na nitayafanyia kazi Mh mjumbe
 
Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu mjumbe japo siungi mkono hoja ya kubadili avatar na kuacha masihara.

Avatar yako na masihara yako ndio ID yako. Ukibadilisha hautakuwa tena Ushimen labda ubadili na username.

Sometimes ni busara mtu kujibadilisha yeye ili aende sawa na wewe kuliko kutaka wewe ndio ubadilike uendane nae. Hiyo ni selfishness.
Mkuu upo sahihi kabisa!
 
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kiongozi, mimi nafurahia yale mapicha yako... hahaha we jamaa bwana una utani hadi basi!!!
 
Nilikuwa kupitwa.
Huyo Dada ndiyo yule aliye pekee yake kwenye dunia yenye billions of people?

Mkuu heri ya siku ya kuzaliwa, ila mimi niwekee avatar ya zamani niwe naiona.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahaahaaa......
Huyo ndie mke wa ndoa wa Ushimen, wala hauja kosea mkuu...[emoji5]
Na kimsingi haujapitwa sana mkuu, naomba niseme asante kwa kunitakia kheri
 
Una 39 nw..bt kiuhalisia husound hyo miaka .unasound kama 23yrs!oa sasa ili uwe na mawazo fulan postive ...mazuri mazuri...!acha utoto..sio upunguze hapana acha kbs age hyo kuna wenzako wana watoto wakubwa !maana nami umenipita mbali tu .Happy bdy ushimen
Mbona unazidi kutuzeesha mtu wangu (mtumishi), japo kweli tushakuwa wazee lakini mshkaji ana 38 saivi[emoji23]
 
Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu mjumbe japo siungi mkono hoja ya kubadili avatar na kuacha masihara.

Avatar yako na masihara yako ndio ID yako. Ukibadilisha hautakuwa tena Ushimen labda ubadili na username.

Sometimes ni busara mtu kujibadilisha yeye ili aende sawa na wewe kuliko kutaka wewe ndio ubadilike uendane nae. Hiyo ni selfishness.
Acha kumpotosha shemeji yako
 
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kiongozi, mimi nafurahia yale mapicha yako... hahaha we jamaa bwana una utani hadi basi!!!
Asante kwa kunitakia kheri mkuu....
Yale mapicha picha yameniletea chuki humu ndani mkuu, na wengi wamefunguka kwa jinsi ambavyo nimekua nikiwakera.
Kuna mmoja yeye alifikia hata kutapika Pizza pindi tu nilipo unga mkono hoja na nikatupia picha....tehteehh [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]be you bwana! Wengine tunapata vitu tofauti, yaani stress mtaani hadi mtandaoni!!!
 
Mbona unazidi kutuzeesha mtu wangu (mtumishi), japo kweli tushakuwa wazee lakini mshkaji ana 38 saivi[emoji23]
Na mbaya zaidi eti akanishauri kwamba nioe ili niwe na mawazo yalio pevuka....tehteehh [emoji12] [emoji12]
Minilitarajia ataniuliza kwamba nina watoto wangapi? Nipo kwenye ndoa mwaka wa ngapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nitafute jibu la ile comment, nikasema ahaa kumbe
 
Back
Top Bottom