Sawa kaka yetu. Ila punguza rohombaya. Ukidedi namrithi mkeoDah...kihisabati mie nimemzidi 8...hivyo nawe nimekuzidi 6[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Asante ndugu mjumbe.Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu mjumbe japo siungi mkono hoja ya kubadili avatar na kuacha masihara.
Avatar yako na masihara yako ndio ID yako. Ukibadilisha hautakuwa tena Ushimen labda ubadili na username.
Sometimes ni busara mtu kujibadilisha yeye ili aende sawa na wewe kuliko kutaka wewe ndio ubadilike uendane nae. Hiyo ni selfishness.
Mkuu upo sahihi kabisa!Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu mjumbe japo siungi mkono hoja ya kubadili avatar na kuacha masihara.
Avatar yako na masihara yako ndio ID yako. Ukibadilisha hautakuwa tena Ushimen labda ubadili na username.
Sometimes ni busara mtu kujibadilisha yeye ili aende sawa na wewe kuliko kutaka wewe ndio ubadilike uendane nae. Hiyo ni selfishness.
hahhahaa ww ht mm n8mekupita..nakuhis wa 86Haya tupe umri unaoupenda wewe...
Hahaahaaa......Nilikuwa kupitwa.
Huyo Dada ndiyo yule aliye pekee yake kwenye dunia yenye billions of people?
Mkuu heri ya siku ya kuzaliwa, ila mimi niwekee avatar ya zamani niwe naiona.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mbona unazidi kutuzeesha mtu wangu (mtumishi), japo kweli tushakuwa wazee lakini mshkaji ana 38 saivi[emoji23]Una 39 nw..bt kiuhalisia husound hyo miaka .unasound kama 23yrs!oa sasa ili uwe na mawazo fulan postive ...mazuri mazuri...!acha utoto..sio upunguze hapana acha kbs age hyo kuna wenzako wana watoto wakubwa !maana nami umenipita mbali tu .Happy bdy ushimen
Acha kumpotosha shemeji yakoHeri ya siku ya kuzaliwa ndugu mjumbe japo siungi mkono hoja ya kubadili avatar na kuacha masihara.
Avatar yako na masihara yako ndio ID yako. Ukibadilisha hautakuwa tena Ushimen labda ubadili na username.
Sometimes ni busara mtu kujibadilisha yeye ili aende sawa na wewe kuliko kutaka wewe ndio ubadilike uendane nae. Hiyo ni selfishness.
Asante kwa kunitakia kheri mkuu....Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kiongozi, mimi nafurahia yale mapicha yako... hahaha we jamaa bwana una utani hadi basi!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]be you bwana! Wengine tunapata vitu tofauti, yaani stress mtaani hadi mtandaoni!!!Asante kwa kunitakia kheri mkuu....
Yale mapicha picha yameniletea chuki humu ndani mkuu, na wengi wamefunguka kwa jinsi ambavyo nimekua nikiwakera.
Kuna mmoja yeye alifikia hata kutapika Pizza pindi tu nilipo unga mkono hoja na nikatupia picha....tehteehh [emoji12] [emoji12]
Na mbaya zaidi eti akanishauri kwamba nioe ili niwe na mawazo yalio pevuka....tehteehh [emoji12] [emoji12]Mbona unazidi kutuzeesha mtu wangu (mtumishi), japo kweli tushakuwa wazee lakini mshkaji ana 38 saivi[emoji23]
Siku ile ilibaki kidogo nikupige kibutiBabe, nakumbuka siku ile ulipo tapika ugali na mlenda, kisa tu nimetupia picha...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Wakati mwingine masikhara yakizidi sana yanakuwa kero. Comment haihusiani na mada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]be you bwana! Wengine tunapata vitu tofauti, yaani stress mtaani hadi mtandaoni!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nitafute jibu la ile comment, nikasema ahaa kumbeNa mbaya zaidi eti akanishauri kwamba nioe ili niwe na mawazo yalio pevuka....tehteehh [emoji12] [emoji12]
Minilitarajia ataniuliza kwamba nina watoto wangapi? Nipo kwenye ndoa mwaka wa ngapi?