"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Sasa ndio mjibu manengelo, una watoto wangapi?, ndoa ina umri gani? Je, watoto wako ni wa mama mmoja?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]


😂😂😂 hyo line ya mwisho nadhan i aujumbe fulan..kuna kipindi kuna id 1 ilikua inamuatack sana huyu jamaa kuhusu hayo mambo...inaitwaga akili unazo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hyo line ya mwisho nadhan i aujumbe fulan..kuna kipindi kuna id 1 ilikua inamuatack sana huyu jamaa kuhusu hayo mambo...inaitwaga akili unazo
Teh teh[emoji39] muulize basi manake alikusubiri wewe... Halafu kwa nini unazidi kutuzeesha!!!
 
Mkuu Ushimen awali ya Yoyote nakupongeza kwa kukaribia Umri wa Kiutu Uzima na Mungu akubariki kwa kukiri kuwa hadi kufika umri huo umewakwaza wengi sana na nashukuru kuwa umeruhusu kuulizwa swali lolote wakati nataka kuweka maswali yangu naomba Umjibu maswali yake huyu Mkuu Elly kama sijakosea ID yake.. nakuona unayapotezea.

Kingine mkuu kwa kuwa umejinasibu kwenye comment yako ya 118 bullet ya 5 kuwa wewe ni msema ukweli naomba uwe mkweli kwa haya yafuatayo..

Umeshamuomba msamaha Mzazi Mwenzio anayeishi Kahama?
Je Yule Dada wa Marekani ulishamuomba Msamaha mpaka amekuwa Chizi wa kushinda kwenye ibada ya maombezi?
Je Watoto wako unawasomesha wote najua una watoto zaidi ya 6 kwa Wamama zaidi ya Watatu?
Je, Ulishapiga magoti kwa kuomba msamaha uliongea madhabahuni kuwa wewe ni Yatima?
Kwa uchache naomba niishie hapo tunaweza endelea na maswali baadae naomba nikupongezee tena kwa kukiri kuwa uliwakwaza wengi sana hasa wadada wa humu JF. Mungu akubariki
 
ni

Nimekutaja dk 5 zilizopita naona ushajaa...aisee
 
Ile comment yangu isije kuleta matatizo tu hapa, napenda amani kuliko amani yenyewe mkuu.
 
Ile comment yangu isije kuleta matatizo tu hapa, napenda amani kuliko amani yenyewe mkuu.
Mkuu au mimi nimesoma vibaya si ameomba aulizwe lolote au Muda wa Maswali umeshaisha? na Pia amekiri kwenye comment yake ya 118 kuwa yeye maisha yake anapenda kusimamia kuongea ukweli hicho ndicho kilichoniamsha nilipokuwa nimejibarizi Mkuu.. Otherwise anisamehe kama nitakuwa nimelielewa vibaya bandiko lake kwa kuwa Msamaha wa kweli lazima utoke moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…