Kwa hiyo saivi we utamu basi tena, umri huo maini matamu kama nini mane, usiniangushe ujuwe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]hahaha mm ring ndo linataka kuota kutu kbs...dah..nakuachia ww
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani wewe ni muogaaIle comment yangu isije kuleta matatizo tu hapa, napenda amani kuliko amani yenyewe mkuu.
Sipendi shida rafiki, yaani sipendi kuona ugomvi [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani wewe ni muogaa
Sawa babeBabe...
Ebu usifanye mambo yawe mengi, wakati muda ni mchache[emoji12] [emoji12]
Kwani wapi watu wamegombana [emoji16][emoji16] mimi nimeona maswali tuSipendi shida rafiki, yaani sipendi kuona ugomvi [emoji23][emoji23]
hahahahahaKwani wapi watu wamegombana [emoji16][emoji16] mimi nimeona maswali tu
Very GoodMkuu, kiimani mimi ni mkristo. Hivyo basi jana niliomba radhi kwa wote nilio wakwaza na leo nimeenda church kufanya maungamo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, kiimani mimi ni mkristo. Hivyo basi jana niliomba radhi kwa wote nilio wakwaza na leo nimeenda church kufanya maungamo
ππππππππ1. Nitaweka picha badae kidogo
2. Sijui kwanini napenda sana maskhara, nadhani hivyo ndivyo Mungu aliniumba.
3. Dodoma fursa naziona nyingi sana za ujasiriamali. Na nikimuona ama kusikia kijana amekosa kitu cha kumuingizia walau 20 elfu wakati ana mtaji wa 500 elfu.... hakika ninamshangaa sana.
4. Mimi ni muumini wa kufanya kazi kwa bidii, na ninaamini yeyote anae fanya kazi kwa bidii lazima atapata faida.
Kwa vijana wanao maliza university na kukosa ajira, hao naweza nikasema kwamba wamekua na mawazo ya kuajiriwa kuliko kujiajiri. Na mwisho wa siku wanaogopa kukaanga mihogo kwasababu tu wanaona aibu kwamba ana degree.
5. Ningepewa nafasi ya kuwa Rais, hakika nisinge kubali kwasababu mimi sio mpenda siasa, sipendi uongo na nipo straight forward.
Hahaahaaa....[emoji23][emoji23][emoji23] hyo line ya mwisho nadhan i aujumbe fulan..kuna kipindi kuna id 1 ilikua inamuatack sana huyu jamaa kuhusu hayo mambo...inaitwaga akili unazo
yes...wakati muzuri kabisa, lazima nikutembeze mitaa ya uzunguni aka West Btwende mkuu..i hope tutakuwa na ....