"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

@ushimen niwekee hiyo picha iliyokera wengi...
Mkuu, kiimani mimi ni mkristo. Hivyo basi jana niliomba radhi kwa wote nilio wakwaza na leo nimeenda church kufanya maungamo
 
Happy Birthday Mkuu Ushimen Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yaliyojaa furaha tele, amani na afya njema.
 
Mkuu, kiimani mimi ni mkristo. Hivyo basi jana niliomba radhi kwa wote nilio wakwaza na leo nimeenda church kufanya maungamo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Nitaweka picha badae kidogo
2. Sijui kwanini napenda sana maskhara, nadhani hivyo ndivyo Mungu aliniumba.
3. Dodoma fursa naziona nyingi sana za ujasiriamali. Na nikimuona ama kusikia kijana amekosa kitu cha kumuingizia walau 20 elfu wakati ana mtaji wa 500 elfu.... hakika ninamshangaa sana.
4. Mimi ni muumini wa kufanya kazi kwa bidii, na ninaamini yeyote anae fanya kazi kwa bidii lazima atapata faida.
Kwa vijana wanao maliza university na kukosa ajira, hao naweza nikasema kwamba wamekua na mawazo ya kuajiriwa kuliko kujiajiri. Na mwisho wa siku wanaogopa kukaanga mihogo kwasababu tu wanaona aibu kwamba ana degree.
5. Ningepewa nafasi ya kuwa Rais, hakika nisinge kubali kwasababu mimi sio mpenda siasa, sipendi uongo na nipo straight forward.
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Rafiki ukipewa mautamu ndio furaha yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante muhenga mwenzangu, hapo nishindwe tu mwenyewe kwenye umaliziaji...tehteehh [emoji12]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hyo line ya mwisho nadhan i aujumbe fulan..kuna kipindi kuna id 1 ilikua inamuatack sana huyu jamaa kuhusu hayo mambo...inaitwaga akili unazo
Hahaahaaa....
Umenikumbusha mbali sana mkuu, siku moja nitakusimulia[emoji23] [emoji23]
 
Ushirombo Men,, [emoji3][emoji3].
Hongera sana Mkuu,
Dohh, umepunguza sehemu ya muda bana katika umri wako. Ubarikiwe sana na tena na tena.
 
Back
Top Bottom