"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Hahaahaaa.....
Asante wana mkuu.
1. Nina watoto 5/wa mama tofauti
2. Sijawahi kuwa na uhakika kama yule dada wa kahama ni mzazi mwenzangu.
3. Hakuna mwanamke nilie wahi na sinto kaa niombe msamaha kwa matukio ya tofauti za kimahusiano zilizo tokea wakati nikiwa bado siaoa rasmi (kanisani).
Na mwisho wa siku ilikua ni lazima ifike wakati nioe mke mmoja tu mkuu.
4. Watoto wangu wote ninaishi nao, na wote wanasoma.
Msalimie sana Jirani na karibu kwa maswali mengine mkuu
 
Mkuu ni kweli niliona umenitaja hasa ulipokuwa unajaziliza kwenye hoja Eli79 aliyokuwa ameomba kufafanuliwa.
Ile comment yangu isije kuleta matatizo tu hapa, napenda amani kuliko amani yenyewe mkuu.
Usiwe na shaka kabisa mkuu, hapa amani lazima itawale na kuwa na amani tele mkuu.
Hadi naamua kufanya hivi, nimeamua niishi kwa amani na sinto mkwaza yeyote pamoja na mimi sinto ruhusu hasira yeyote initawale
 
Swali la nyongeza, kama ulijua mwisho wa siku utaoa mke mmoja kwa nini uliwajaza Costa? [emoji14][emoji14]
 
Kuwa na amani mkuu....
Bado nipo hapa na nitajibu swali lolote tena kwa uwazi kabisa[emoji23] [emoji23]
 
Ushirombo Men,, [emoji3][emoji3].
Hongera sana Mkuu,
Dohh, umepunguza sehemu ya muda bana katika umri wako. Ubarikiwe sana na tena na tena.
Asante kwa kunitakia kheri mkuu, kweli nimeanza kuwa mzee sasa
 
Swali la nyongeza, kama ulijua mwisho wa siku utaoa mke mmoja kwa nini uliwajaza Costa? [emoji14][emoji14]
Babe, ujana una mambo mengi sana na panapo tokea mahusiano basi hata mivurugano inahusika hasa mnapo kutana wote vijana na dam ikingali inachemka.
Kimsingi mimi ni mmoja kati ya wanaume waliokua hawataki kabisa kuoa, na sikuwahi kujaza costa kama unavyo sema, bali sikuwahi kujua jinsi ama kuweka interval pindi nilipo vunja mahusiano na kuanzisha mahusiano mengine.
Kimsingi ukweli nimekua mkosefu mara kadhaa kwa kitendo cha kuwa na wadada na kuwa acha, lakini mwisho nikwamba wakati ulipo fika ilinilazimu sasa nioe. Na hauwezi amini haya mahusiano ya nyuma yakiwahi kunisababisha nikaingia mgogoro mkubwa sana na mke wangu.
Lakini leo kilakitu kipo poa na maisha ni ya raha na amani tele
 


Ila mkeo ana kazi...5 childrenπŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…
 
Umejibu vema babe kweli umejua[emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…