Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
wewe hina uzee wowote, hako kakitambi chako kasikuzuzue[emoji12]Huyu mzee mwenzangu
mwenzangu mimemzidi kwa miaka miwili atakuwa na miaka 70
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe hina uzee wowote, hako kakitambi chako kasikuzuzue[emoji12]Huyu mzee mwenzangu
mwenzangu mimemzidi kwa miaka miwili atakuwa na miaka 70
Hahaahaaa.....Mkuu Ushimen awali ya Yoyote nakupongeza kwa kukaribia Umri wa Kiutu Uzima na Mungu akubariki kwa kukiri kuwa hadi kufika umri huo umewakwaza wengi sana na nashukuru kuwa umeruhusu kuulizwa swali lolote wakati nataka kuweka maswali yangu naomba Umjibu maswali yake huyu Mkuu Elly kama sijakosea ID yake.. nakuona unayapotezea.
Kingine mkuu kwa kuwa umejinasibu kwenye comment yako ya 118 bullet ya 5 kuwa wewe ni msema ukweli naomba uwe mkweli kwa haya yafuatayo..
Umeshamuomba msamaha Mzazi Mwenzio anayeishi Kahama?
Je Yule Dada wa Marekani ulishamuomba Msamaha mpaka amekuwa Chizi wa kushinda kwenye ibada ya maombezi?
Je Watoto wako unawasomesha wote najua una watoto zaidi ya 6 kwa Wamama zaidi ya Watatu?
Je, Ulishapiga magoti kwa kuomba msamaha uliongea madhabahuni kuwa wewe ni Yatima?
Kwa uchache naomba niishie hapo tunaweza endelea na maswali baadae naomba nikupongezee tena kwa kukiri kuwa uliwakwaza wengi sana hasa wadada wa humu JF. Mungu akubariki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww toa nauli...to n fro!maji nitachemsha hom as mm msukuma...nitabeba dumu 2..ntapika na ugali na samak napack kwa hotpot..huon nitakuwa nimesaidia
Mkuu ni kweli niliona umenitaja hasa ulipokuwa unajaziliza kwenye hoja Eli79 aliyokuwa ameomba kufafanuliwa.
Usiwe na shaka kabisa mkuu, hapa amani lazima itawale na kuwa na amani tele mkuu.Ile comment yangu isije kuleta matatizo tu hapa, napenda amani kuliko amani yenyewe mkuu.
Swali la nyongeza, kama ulijua mwisho wa siku utaoa mke mmoja kwa nini uliwajaza Costa? [emoji14][emoji14]Hahaahaaa.....
Asante wana mkuu.
1. Nina watoto 5/wa mama tofauti
2. Sijawahi kuwa na uhakika kama yule dada wa kahama ni mzazi mwenzangu.
3. Hakuna mwanamke nilie wahi na sinto kaa niombe msamaha kwa matukio ya tofauti za kimahusiano zilizo tokea wakati nikiwa bado siaoa rasmi (kanisani).
Na mwisho wa siku ilikua ni lazima ifike wakati nioe mke mmoja tu mkuu.
4. Watoto wangu wote ninaishi nao, na wote wanasoma.
Msalimie sana Jirani na karibu kwa maswali mengine mkuu
Kuwa na amani mkuu....Mkuu au mimi nimesoma vibaya si ameomba aulizwe lolote au Muda wa Maswali umeshaisha? na Pia amekiri kwenye comment yake ya 118 kuwa yeye maisha yake anapenda kusimamia kuongea ukweli hicho ndicho kilichoniamsha nilipokuwa nimejibarizi Mkuu.. Otherwise anisamehe kama nitakuwa nimelielewa vibaya bandiko lake kwa kuwa Msamaha wa kweli lazima utoke moyoni
haya mkuu..lini hyo iwe😉Hahaahaaa....
Umenikumbusha mbali sana mkuu, siku moja nitakusimulia[emoji23] [emoji23]
Ile comment yangu isije kuleta matatizo tu hapa, napenda amani kuliko amani yenyewe mkuu.
Kwa hiyo saivi we utamu basi tena, umri huo maini matamu kama nini mane, usiniangushe ujuwe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
Babe, ujana una mambo mengi sana na panapo tokea mahusiano basi hata mivurugano inahusika hasa mnapo kutana wote vijana na dam ikingali inachemka.Swali la nyongeza, kama ulijua mwisho wa siku utaoa mke mmoja kwa nini uliwajaza Costa? [emoji14][emoji14]
Babe, ujana una mambo mengi sana na panapo tokea mahusiano basi hata mivurugano inahusika hasa mnapo kutana wote vijana na dam ikingali inachemka.
Kimsingi mimi ni mmoja kati ya wanaume waliokua hawataki kabisa kuoa, na sikuwahi kujaza costa kama unavyo sema, bali sikuwahi kujua jinsi ama kuweka interval pindi nilipo vunja mahusiano na kuanzisha mahusiano mengine.
Kimsingi ukweli nimekua mkosefu mara kadhaa kwa kitendo cha kuwa na wadada na kuwa acha, lakini mwisho nikwamba wakati ulipo fika ilinilazimu sasa nioe. Na hauwezi amini haya mahusiano ya nyuma yakiwahi kunisababisha nikaingia mgogoro mkubwa sana na mke wangu.
Lakini leo kilakitu kipo poa na maisha ni ya raha na amani tele
Umejibu vema babe kweli umejua[emoji14]Babe, ujana una mambo mengi sana na panapo tokea mahusiano basi hata mivurugano inahusika hasa mnapo kutana wote vijana na dam ikingali inachemka.
Kimsingi mimi ni mmoja kati ya wanaume waliokua hawataki kabisa kuoa, na sikuwahi kujaza costa kama unavyo sema, bali sikuwahi kujua jinsi ama kuweka interval pindi nilipo vunja mahusiano na kuanzisha mahusiano mengine.
Kimsingi ukweli nimekua mkosefu mara kadhaa kwa kitendo cha kuwa na wadada na kuwa acha, lakini mwisho nikwamba wakati ulipo fika ilinilazimu sasa nioe. Na hauwezi amini haya mahusiano ya nyuma yakiwahi kunisababisha nikaingia mgogoro mkubwa sana na mke wangu.
Lakini leo kilakitu kipo poa na maisha ni ya raha na amani tele