"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Bugia tu hadi na yale meno 2 yaliyobaki yafyekelewe mbali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hongera.
Hebu kidogo niambie
Uwezo wako, Mapungufu yako, Fursa ulizonazo na Matishio unayo yaona katika maisha yako
 
Mkuu, pamoja na kwamba muda kidogo umepita.....
Lakini kwa heshima na taadhima naomba nikujibu kama ifuatavyo:-
1. Uwezo wangu binafsi ni kwanza kusimama kama mume na baba wa watoto wangu. Na pia nimekua mkubwa sasa na ninajitambua tofauti na siku za ujana wangu, lakini pia mimi ni aina ya watu wenye kuweza kubeba mambo mengi na magumu kifuani.
Mimi ni mtu mwenye maamuzi magumu, na inapofika wakati wa kufanya maamuzi, huwa naamua vile ambavyo nataka mimi iwe na hata kama sio sahihi mbele za wengine.
2. Nina hakika kabisa kwamba nina mapungufu mengi kama binadamu, na hii ni kwasababu bado ninaishi.
3. Sijawahi kuwa na fursa, lakini mimi ni mtazamaji mzuri sana wa kuzitafuta fursa kwa jicho la ziada.
4. Sijawahi kupata matushio kutoka popote zaidi ya matishio ya kwenye mahusiano yaliopita.
Hongera.
Hebu kidogo niambie
Uwezo wako, Mapungufu yako, Fursa ulizonazo na Matishio unayo yaona katika maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…