Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah kwa kweli ....yaan Mimi ilikuwa inanitisha tu...sasa ndoto mbaya basi.Haikua, asante sana mkuu.
Bilashaka hauto pata ndoto mbaya tena...
Hongera.
Hebu kidogo niambie
Uwezo wako, Mapungufu yako, Fursa ulizonazo na Matishio unayo yaona katika maisha yako
Ndio leo mkuu, hapa nipo tayari kwa kuanza kupokea zawadi zote.Leo ndo birdy mkuu? Ahhaahhaa hongera mkuu kwa kuongeza mwaka! Zawadi yako nnayo...! Utaiona
Ndio leo mkuu, hapa nipo tayari kwa kuanza kupokea zawadi zote.
Ahsante mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio leo mkuu, hapa nipo tayari kwa kuanza kupokea zawadi zote.
Ahsante mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaaa.....Mwaka umekata fasta, hii thread naikumbuka kama ya juzi tu.
Hongera bro.
Mungu amtunze, ampe kheri na mafanikio teleMwezi mzuri huu my son was 19th! Haya kaa mkao wa kula
Ahsante mdada mrembo kwa kunitakia kheri.Hepi bathidei mkaka mwenye mapengo yako mazuri.
Ahsante mh mjumbe, na zawadi bado ninapokeaHeri ya siku ya kuzaliwa ndugu mjumbe.