"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Dah..kumbe hata kuishi bado hujaanza?..Safi sana mkuu...hata hivyo umekwepa mishale ya kutosha....Wewe komaa huko wakati huku Mimi nakuombea ndani ya siku 365 zijazo uunde robot lako mwenyewe hapo workshop ....libebe keki yako ya kuanzia maisha at 40 [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
Asante sana mkuu
 
Happy Birthday Jirani

Itabidi nimuachie Many hapa Waswanu zawadi yako ya Jibapa na kule jikoni utamuona dogo deo ukirudi wakupatie

Endelea kutushushia mapicha jirani..[emoji3][emoji3]
 
Happy Birthday Jirani

Itabidi nimuachie Many hapa Waswanu zawadi yako ya Jibapa na kule jikoni utamuona dogo deo ukirudi wakupatie
Asante jirani...
Ebu waambie waitunze palepale... [emoji39] [emoji481]
 
Back
Top Bottom