Dah...kihisabati mie nimemzidi 8...hivyo nawe nimekuzidi 6[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu mzee mwenzangu
mwenzangu mimemzidi kwa miaka miwili atakuwa na miaka 70
Tena kila thread sijui anajisikia furaha gani
Kwa imani mimi ni mkristo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwa inaniudhi but kaomba radhi
Sent using Jamii Forums mobile app
In Sha AllahNimeacha kabisa mkuu, naomba niwe mwema kuanzia leo...[emoji25]
subutu yakoooHuyu mzee mwenzangu
mwenzangu mimemzidi kwa miaka miwili atakuwa na miaka 70
mie mwenyew mgeniNdio nimepatia au? Maana nisije tia aibu kama Asprin
Ngoja nijiongeze nikiuza Gunia zangu za mkaa tutafanya mchakatoww toa nauli...to n fro!maji nitachemsha hom as mm msukuma...nitabeba dumu 2..ntapika na ugali na samak napack kwa hotpot..huon nitakuwa nimesaidia
mie mwenyew mgeni
Asante sana mkuuDah..kumbe hata kuishi bado hujaanza?..Safi sana mkuu...hata hivyo umekwepa mishale ya kutosha....Wewe komaa huko wakati huku Mimi nakuombea ndani ya siku 365 zijazo uunde robot lako mwenyewe hapo workshop ....libebe keki yako ya kuanzia maisha at 40 [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
thawaNgoja nijiongeze nikiuza Gunia zangu za mkaa tutafanya mchakato
Hapo ulikuwa unaangalia ninithawa
speech ya magu😅👅Hapo ulikuwa unaangalia nini