Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Inategemea na umri wa watotoIla mkeo ana kazi...5 children[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na umri wa watotoIla mkeo ana kazi...5 children[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104]
Inategemea na umri wa watoto
Heshima yako mkuuu!!! Serengeti boy ngoja nipite kimya kimyahahhahaa ww ht mm n8mekupita..nakuhis wa 86
pita kwakwelHeshima yako mkuuu!!! Serengeti boy ngoja nipite kimya kimya
Kwakweli kwa hili ninamsifu sana mkuu, na nikiri wazi kwamba sisi masingo baba pia huchangia kwenye kufanya wake zetu wawapende ama wawachukie watoto wetu
[emoji3][emoji3][emoji3] tungekuwa tunachukua makabila ya wamama angekuwa na makabila matano ndani[emoji3][emoji3]Ah wapi ww...damu 5 za watu tofauti kuzihandle ishu
Dahhhhh....Ah wapi ww...damu 5 za watu tofauti kuzihandle ishu
Kiongozi soon utaifikia record ya prince dully syksi watoto saba mama tofauti tofauti.Dahhhhh....
Naona wewe hauja nielewe kabisa muhenga.
Nimesema nina jumla ya watoto 5 na Mungu akijaalia soon tutapata mtoto mwingine ambaye atakua wa 6.
Hivyo basi mimi ndie nitakua member mwenye anamiliki watoto wengi kuliko wote humu Jf... [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Njoo uchukue mkuu, ila usije na yule mwanao!Asante sana mkuu, na zawadi bado ninaendelea kupokea...[emoji39] [emoji39]
Dah...ndiyo undugu huo...kurithishana...vizuri kula na nduguyo...ila kama ikitokea na wewe ukitangulia itakuwa hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa kaka yetu. Ila punguza rohombaya. Ukidedi namrithi mkeo